Waarabu wana nguvu Iringa

Waarabu wana nguvu Iringa

MTANDI mwenye embalasasa motel na kampuni yaukandarac, KAUNDAMA mwenye kalenga motel na maduka yajumla jumla pamoja na magari makubwa yausafirishaji, LUVINGA mwenye m.r hotels, MKWAWA mwenye hillpot hotels, NYAGAWA mwenye mabus ya upendo na budget, MFUGALE mwenye kituo cha radio ebony fm na hotel kubwa pale dar mitaa ya posta inaitwa pcock hotel, hao niwachache 2 kwa harakaharaka.

Atawajulia wapi huyo
Anaichukulia poa iringa
 
Kwa hiyo mnatuambia watu wa moshi ni wajanja sana sio...hahahahahaha ama kweli mkiambiwa watu wa moshi ni wakabila na wadini msibisheee mnajisuta wenyewe wazee wa.....

Mi siyo muhehe lakini hii kesi ni ya kibaguzi. Nakuunga mkono jamaa yangu huyu mleta uzi ni mbaguzi. That means nikienda Moshi nikatusua maisha either nitahujumiwa (ujambazi) au nitafukuzwa directly
 
Huyo mleta mada nadhani ukabila na dharau vinamsumbua! Mji sio lazima uendelezwe na wazawa kwani huoni dhahabu na madini wanachukua wazungu na makaburu? Basi wafukuze na wazungu waliojenga shule na viwanda kule kwenu kilimanjaro, mbona ndio mnawagaia ardhi kila kukicha? Mbona mnakimbilia kuwapokea na kubeba mizigo yao kupanda mlima na mkirudi mnaishia kwenye viroba na mbege? Mbona mnawatumikia wazungu na kukazana kujifunza viingereza uchwara ili wawape dili hata ya udereva? Siku nyingine uwe makini kabla ya kuropoka, nahisi unatabia za wanasiasa wa upande fulani huwa wanaropoka kama wewe, unakuta umeme hakuna yeye anakujibu mimi sio mungu! Jifunze kufikiri kwa ufasaha.

Hahaaaa
I love this!
 
Simu yangu haina kitufe cha like. By the way chukua like tano zinatosha
 
Acha ubaguzi wa Rangi we we, waarabu nao ni watz wana haki sawa
 
Waarabu ni wabaguzi vibaya na ni wakatili, ni watu wanaotakiwa kupigwa vita! Mahali wamejazana hakuna maendeleo ya maana, angalia tanga, morogoro, iringa na Tabora. Yaani ni watu zero kabisa. Wameshindwa kufurukuta huku arusha. Thubutuuu!

Ni kweli wana ubaguzi lakini sio wite !.

Pia kwa mikoa uliyotaja,sijui lakini iringa kwa sasa inakua Sana mambo yamebadirika
 
Hater ni kitu kibaya sn katika mfumo wa maisha ya mwanaadamu na kaeni mkijua NCHI haijengwe kwa chuki ina jengwa na mshikamano wa watu wote.na huyo MTU aliye leta maada hii anamatatizo ya Ubongo.
 
wampe kichapo mjeruman alaf wamshobokee mwarabu wap na wap...
acha kuwaharibia hadhi yao
Respect kwao
 
Aisee nimeshangaa sana na maisha ya watu wa hapa Iringa,tumekuja hapa kikazi tuna kama siku tano sasa,yaani tumegundua wenyeji wa mji huu wa Iringa wameshikwa pabaya na waarabu,inakuwa kama wana waabudu waarabu halafu waarubu kibao mji huu,yaani mwarabu akiongea kitu kidogo mhehe anakimbia hasa.

Mwarabu akipita na gari utasikia jamaa wanabishana hhii gari ni ya Fm au sijui nani, yaani kwa ujumla wahehe hamna kitu, natamani wangeenda moshi waone jinsi wachaga walivyotimua wahindi,kinachoshangaza zaidi inakuwaje Iringa iwe na wanasiasa na viongozi maaraufu lakini watu wao wawe wajinga kiasi hiki????
Sasa kwa mawazo yako uanataka wawafanye nini? Tabora kuna wasomali na waarabu pia unawaambia nini wanyamwezi kulw Tanga nako wapo waraabu na watu kule ni mchanganyiko sana. Unawaambia ni wasambaa na wabondei?, Dar kumejaa wachaga, wahindi,wachina, waarabu na wahaya ndio wameshika uchumi wa jiji sasa unawaambia nini wazaramo? zanzibar nako waarabu kibao. Unawaambia nini? Mkuu watu huenda kuishi mahali kutokana na sababu nyingi kama fursa za kiuchumi, amani, na mahusiano ya jamii ya ukarimu. Sasa wewe unataka watu wa Iringa waanze kufanya kama wanavyofanya watu wa Afrika ya kusini? Hapa Dar hujasikia au kuona magari yakipita wanasema hili la Bahresa au Dewji kwa maana ya Mohamed Interprises? Hebu zunguka mikoa yote utakuta kila mkoa una aina fulani ya watu wanaweza kuwa wageni au wenyeji ambao wanadominate au kutawala shughuli fulani shughuli za biashara au kilimo. Hapo Iringa mbona hujasema Wakinga walivyoweza kuwaondoa wahindi katika mtaa maarufu hapo ukiitwa Uhindini ngawa wenyewe ni Jamat Street? Nenda Kariakoo uone wakinga walivyoshika biashara kubwa za maduka. Je wazaramo wafanyeje? Na wamasai je utasemaje walijaa kwenye salooni na ulinzi hapa Dar?
 
Aisee nimeshangaa sana na maisha ya watu wa hapa Iringa,tumekuja hapa kikazi tuna kama siku tano sasa,yaani tumegundua wenyeji wa mji huu wa Iringa wameshikwa pabaya na waarabu,inakuwa kama wana waabudu waarabu halafu waarubu kibao mji huu,yaani mwarabu akiongea kitu kidogo mhehe anakimbia hasa.

Mwarabu akipita na gari utasikia jamaa wanabishana hhii gari ni ya Fm au sijui nani, yaani kwa ujumla wahehe hamna kitu, natamani wangeenda moshi waone jinsi wachaga walivyotimua wahindi,kinachoshangaza zaidi inakuwaje Iringa iwe na wanasiasa na viongozi maaraufu lakini watu wao wawe wajinga kiasi hiki????

rudi kwenu ukanywe kiburu..naona umekitamani.....achana na wahehe...siku tano tuu wajifanya umejua life style ya wahehe?!!!ni ajabu hakika
 
kumbe sasa nimeanza kujua tatizo,ina maana matajiri wahehe wanaukimbia mji wao??Mkuu inawezekana hao waarabu hawatoi nafasi kwa wahehe kunyanyuka?kuna kitu kimejificha ambacho tunaitaji ufafanuzi,biashara ni ngumu sana inaonekana

mbona nyie wachaga ndio mnaongoza kukimbia moshi kwenda miji mingine kama dar...acha dharau...update brain yako.
 
acha unafiki wewe, jamaa tunaishi nao vzuri hakuna anayewaogopa 2po nao fair ictoshe wametoa ajira kwa waswahili wengi iringa na wanalipa vzuri!
 
Mtoa post ni mse.n.ge dike, tena ole wako tukuone hapa iringa, werevu wako umeishia hapo, ukahitimisha kwa kutuita wajinga, umefanya utafiti kwa kutumia makalio, huwezi kuijua iringa kwa muda uliokaa na kutoa kauli ya mavi kama hiyo, unapigwa wewe]

Anasema alikaa siku tano ndio akatoka na huo utafiti wake.
Iringa kuna watu wana hela sema tu hawajionyeshi.
 
Hahahah rosemarie aka topthinker anachungulia na kutoka mbio

Utajuuuuuuuuta kutufahamu wahehe
 
Last edited by a moderator:
Aisee nimeshangaa sana na maisha ya watu wa hapa Iringa,tumekuja hapa kikazi tuna kama siku tano sasa,yaani tumegundua wenyeji wa mji huu wa Iringa wameshikwa pabaya na waarabu,inakuwa kama wana waabudu waarabu halafu waarubu kibao mji huu,yaani mwarabu akiongea kitu kidogo mhehe anakimbia hasa.

Mwarabu akipita na gari utasikia jamaa wanabishana hhii gari ni ya Fm au sijui nani, yaani kwa ujumla wahehe hamna kitu, natamani wangeenda moshi waone jinsi wachaga walivyotimua wahindi,kinachoshangaza zaidi inakuwaje Iringa iwe na wanasiasa na viongozi maaraufu lakini watu wao wawe wajinga kiasi hiki????

Hawa wabaguzi ndio wanalilia uongozi wa Nchi. Peleka ubaguzi wako huko Rombo. Au ni matatizo ya kutotoshelezwa na wanaume wa kwenu?Ulipata mwarabu akalamba na kusepa nini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom