fareed uziel
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 665
- 720
waarabu wanapenda magari mazuri na ufahari tofauti na matajiri wa kiafrica ..kwaiyo mtu kushangaa ni kawaida haimaanishi wao ndo wana hela peke yao..wewe una chuki tu zako
hahaaaaaaaaaaNdio maana hatuwapi wachaga nchi hata wafanye nini....watabaki kupiga majungu tu
Hebu mwambieni huyu mpitaji asiye na akili Hugo, hayamuhusu na aseme kabila lake tumwambie upumbavu wake.Kinachotokea Zambia Africa Kusini wanaouawa so waarabu ni waswahili kabisa wakiwemo Watanzania.Mambo ya wahehe waachie wahehe, we fanya yaliyokupeleka then rudi kwenu moshi kaendelee kufukuza wahindi. Dhambi ya ubaguzi inawatafuna nanyi mtabaguliwa hakika nawaambia.
True that na hao wachagga aliowataja kama mfano nilisema hakika dhambi ya ubaguzi itawatafuna na umeona recently walichokipata kwa wao kubaguliwa kila kona mchaga alikuwa haaminiwi hadi kupewa madaraka ikawa gumzo kubwa. Hii iwe funzo kwetu maana kubagua binadamu mwenzio tena mtanzania mwenzio, mwafrika mwenzio sio sawa, dunia tumeikuta tu hakuna mwenye ownership nayo except Mwenyezi Mungu pekee ambaye cha ajabu hana ubaguziHebu mwambieni huyu mpitaji asiye na akili Hugo, hayamuhusu na aseme kabila lake tumwambie upumbavu wake.Kinachotokea Zambia Africa Kusini wanaouawa so waarabu ni waswahili kabisa wakiwemo Watanzania.
Kuna historia ndefu sana hapo unajua wahehe walimix sana hasa na wagiriki. Halafu Chief Mkwawa alikuwa muislamu kwa hiyo kuna strong presence ya waarabu pia. Nakubaliana na wewe kuna waarabu wengi sana waliokubarika kwa muda mrefu Iringa na wahehe wanawasujudu. Lakini hiyo ni shida ya umaskini wa pesa na roho. Hauwezi kukuta kitu kama hicho Bukoba. Wahaya watakutoa lesi. FYI: Mimi ni mhehe na pia siyo muislamu lakini nasema kilicho moyoni mwangu.Aisee nimeshangaa sana na maisha ya watu wa hapa Iringa,tumekuja hapa kikazi tuna kama siku tano sasa,yaani tumegundua wenyeji wa mji huu wa Iringa wameshikwa pabaya na waarabu,inakuwa kama wana waabudu waarabu halafu waarubu kibao mji huu,yaani mwarabu akiongea kitu kidogo mhehe anakimbia hasa.
Mwarabu akipita na gari utasikia jamaa wanabishana hhii gari ni ya Fm au sijui nani, yaani kwa ujumla wahehe hamna kitu, natamani wangeenda moshi waone jinsi wachaga walivyotimua wahindi,kinachoshangaza zaidi inakuwaje Iringa iwe na wanasiasa na viongozi maaraufu lakini watu wao wawe namna hiyo kiasi hiki????
Nene ndi mhehe alongile lunofu ela. Maligo ga kiki. Va hehe mwave ndauli.Umemsom
MKUU, UMEMSOMA MANGATARA PIA ??
Aisee nimeshangaa sana na maisha ya watu wa hapa Iringa,tumekuja hapa kikazi tuna kama siku tano sasa,yaani tumegundua wenyeji wa mji huu wa Iringa wameshikwa pabaya na waarabu,inakuwa kama wana waabudu waarabu halafu waarubu kibao mji huu,yaani mwarabu akiongea kitu kidogo mhehe anakimbia hasa.
Mwarabu akipita na gari utasikia jamaa wanabishana hhii gari ni ya Fm au sijui nani, yaani kwa ujumla wahehe hamna kitu, natamani wangeenda moshi waone jinsi wachaga walivyotimua wahindi,kinachoshangaza zaidi inakuwaje Iringa iwe na wanasiasa na viongozi maaraufu lakini watu wao wawe namna hiyo kiasi hiki????
Wewe usingesoma,hakila ungekuwa mchawi!!!Aisee nimeshangaa sana na maisha ya watu wa hapa Iringa,tumekuja hapa kikazi tuna kama siku tano sasa,yaani tumegundua wenyeji wa mji huu wa Iringa wameshikwa pabaya na waarabu,inakuwa kama wana waabudu waarabu halafu waarubu kibao mji huu,yaani mwarabu akiongea kitu kidogo mhehe anakimbia hasa.