Waandishi wa kitabu cha Zaburi

Waandishi wa kitabu cha Zaburi

Naona nimekupiga za uso🤣🤣

Si umetaka Google ukasema sio kwenye maandiko au uliogopa na mimi nisikuulize maana ya Biblia🤣🤣🤣
Unatafuta uchochoro ukimbie

Mimi sikukupa limit ,nimekuomba maana ya neno Zaburi

Sasa kinachokukimbiza maswali hujibu unaleta porojo ni nini?

Ukijifunza kujibu maswali njoo ujibu ,hapa nadhani watu wamejionea jinsi dini yenu ilivyo shallow

Yaani muhamad kawapachikia maneno hajui hata asili na maana zake ,na huo ni mfano tu
 
Kumbuka hapa kabla hujaanza kulalamika🤣🤣🤣
Sasa sinimekupa uwanja mpana ,

Ni wewe Ulete maana ya neno Zaburi ambayo Muhammad alipachika kwenye Quran

Sasa mbona maswali yanayofaya unayogopa kama UKOMA ?

inamaanisha hiyo maana ya Zaburi umeileta ila huiamini maana inakufunga

Na neno Zaburi kwenye Quran hujui muhamad alilipachikaje

Nikwambie Tu UISLAMU NI UTAPELI

HII INAONESHA MUHAMMAD SIO NABII NI KANJANJA TU

Kapachikiwa Hadi maneno ya Kigiriki ,kisiria ,kiyemeni kwenye Quran ambayo hajui maana yake

Zaidi kapachikiwa neno la kihebrania lenye maana YESU MASIHI NI MUNGU
 
Hao wanaosema hivo hawajui hata maana ya Neno ZABURI

Kama unabisha muulize sheikh yeyote hapa Tanzania,nini maana ya neno Zaburi na asili ya hilo neno ni wapi

Kisha muulize linafanya nini kwenye Quran?
NDIO MAANA NILISEMA MUISLAMU YEYOTE HATA MUFTI AULIZWE MAANA YA NENO ZABURI NA ASILI YAKE

ATALETA POROJO TU

UISLAMU NI DINI AMBAYO INA LOOPHOLE KUBWA ,INA PROPAGANDA NYINGI SANA
 
Niliuliza tyuu. Nipate kufahamu
Ahaa ni hivi Yesu kabla hajazaliwa kwa Bikira Mariam kama Mwanadamu alikua Neno la Mungu ambaye huyo Neno ndiye Mungu Mwenyewe!
Yohana 1:1
Hivyo kipindi Daudi ni kipenzi cha Mungu neno alikua hajavaa mwili!
Umeelewa?
cocastic?
 
😎😎😎😎😎

Zabur ilikuwepo miaka 600 kabla ya Mtume. Na ni hiyo hiyo tunayoisoma leo.

Sawa bro. Kama sio hiyo.je iko wap?.
Ilikuwa ina nini ndan yake?.

2. Hebu niambie maana ya "kushushwa" unavyoelewa wewe.
Sasa kama ilishushwa iliwezaje kuchakachuliwa? Mbona Quran iliyoshushwa wanasema haijachakachuliwa.
 
Zabur ni kitabu cha mbinguni alichopewa Nabii Daudi (a.s.) peke yake, kama Qur’ani inavyothibitisha (Qur’an 4:163).
Zaburi ya Biblia ya leo si Zabur halisi, kwa sababu imeandikwa na watu wengi, wengine hawajulikani, jambo linalopingana na wahyi wa Mungu.
Kitabu cha wahyi hakiandikwi na makuhani, waimbaji au wanamuziki, bali hupokelewa na Nabii mmoja kupitia wahyi.
Kudai kuwa Ezra au watu wa baadaye walipanga Zaburi ni dalili ya mabadiliko (tahrif) ya maandiko ya awali.
Daudi (a.s.) katika Uislamu ni Nabii na Mfalme mcha Mungu, si msanii wa burudani; sauti yake nzuri ilikuwa kwa tasbihi, si tamasha.
Qur’ani pekee ndiyo kitabu kilichohifadhiwa na Mwenyezi Mungu bila kubadilishwa (Qur’an 15:9).

Kwa kumalizia :Zaburi ya Biblia ni mkusanyiko wa maandishi ya wanadamu, si Zabur ya kweli aliyoteremshiwa Nabii Daudi (a.s.).
Tuoneshe ya kweli
 
Unatafuta uchochoro ukimbie

Mimi sikukupa limit ,nimekuomba maana ya neno Zaburi

Sasa kinachokukimbiza maswali hujibu unaleta porojo ni nini?

Ukijifunza kujibu maswali njoo ujibu ,hapa nadhani watu wamejionea jinsi dini yenu ilivyo shallow

Yaani muhamad kawapachikia maneno hajui hata asili na maana zake ,na huo ni mfano tu
Umejuaje kama hajui asili yake?

Maana ya Zabur umeletewa uliza sasa maswali sio kuonyesha masikitiko yako
 
Sasa sinimekupa uwanja mpana ,

Ni wewe Ulete maana ya neno Zaburi ambayo Muhammad alipachika kwenye Quran

Sasa mbona maswali yanayofaya unayogopa kama UKOMA ?

inamaanisha hiyo maana ya Zaburi umeileta ila huiamini maana inakufunga

Na neno Zaburi kwenye Quran hujui muhamad alilipachikaje

Nikwambie Tu UISLAMU NI UTAPELI

HII INAONESHA MUHAMMAD SIO NABII NI KANJANJA TU

Kapachikiwa Hadi maneno ya Kigiriki ,kisiria ,kiyemeni kwenye Quran ambayo hajui maana yake

Zaidi kapachikiwa neno la kihebrania lenye maana YESU MASIHI NI MUNGU
Umejuaje kama hajui maana yake

Naona ulilokuwa unaliwaza wakati unaniambia nikuletee maana ya Zabur limeenda vibaya🤣🤣🤣
 
Muslims achaneni na hiyo Dini ya Majini:
Tumpokee Yesu Kristo:
Qurani Kitabu Cha Majini kimeandika upotoshaji tu:

Hebu nendeni basi Israeli mkutane na ndugu zake Yesu ili kuuona Uwongo wa Qurani:
Waisraeli ndugu zake Yesu wameeleza matendo ya Yesu katika filamu ya Yesu na tunaona
Yesu alihubiri
Alikamatwa
Alisurubiwa
Alikufa
Alifufuka
Alipaa Mbinguni
Na atarudi kuihukumu dunia
Kaburi la Yesu lipo Israeli na alipo suribiwa mlima wa Gorgota papo Israeli:

Sasa mnamwamini vipi eti Mwarabu aandike habari za Yesu na wala hakuwahi kumwona?

Ni kama habari za Muhamadi wazielezee Wamakonde:.

Qurani ni MANENO ya Mpinga Kristo kama hamtaki sawa:

Qurani ni kitabu Cha Ibirisi Lusifer yaani ni Satanic Verses:
Salman Rushdie ana PhD ya Islamic History na Mtafiti Nguli:
Kitabu chake mmeshindwa kukijibu badala yake mmeutangazia Ulimwengu ili Achinjwe.
Akiwaalika kuwaelimisha hamtaki mnataka kumwua tu:
Mnataka kumwua kwa sababu gani:?
Yaani Dini ya Haki haitaki kuhojiwa
Haitaki kuulizwa Swali

Yesu alifundisha upendo na msamaha
Muhamadi anatangaza kuchinja watu wanao mbishia
Na aliyakaribisha Majini Hadi kawaambia ni ndugu zenu wa damu:.
Kama Hadi hapo hamwelewi basi ni sawa tu
 
Zabur ni kitabu cha mbinguni alichopewa Nabii Daudi (a.s.) peke yake, kama Qur’ani inavyothibitisha (Qur’an 4:163).
Zaburi ya Biblia ya leo si Zabur halisi, kwa sababu imeandikwa na watu wengi, wengine hawajulikani, jambo linalopingana na wahyi wa Mungu.
Kitabu cha wahyi hakiandikwi na makuhani, waimbaji au wanamuziki, bali hupokelewa na Nabii mmoja kupitia wahyi.
Kudai kuwa Ezra au watu wa baadaye walipanga Zaburi ni dalili ya mabadiliko (tahrif) ya maandiko ya awali.
Daudi (a.s.) katika Uislamu ni Nabii na Mfalme mcha Mungu, si msanii wa burudani; sauti yake nzuri ilikuwa kwa tasbihi, si tamasha.
Qur’ani pekee ndiyo kitabu kilichohifadhiwa na Mwenyezi Mungu bila kubadilishwa (Qur’an 15:9).

Kwa kumalizia :Zaburi ya Biblia ni mkusanyiko wa maandishi ya wanadamu, si Zabur ya kweli aliyoteremshiwa Nabii Daudi (a.s.).
dini ya kiislam imejaa vitu ambavyo hata mungu mwenyewe huenda anavishangaa. Unamlazisha Mungu kwamba ameshusha kitabu cha zaburi wakati walioandika waliwahi ishi hapa duniani, halafu huyo mungu ashushe kitu watu wachakachue awatazame tu kwani hao watu ndo wanao mwamulia Mungu cha kufanya?, Ile zuburi iliyochakachuliwa na hao watu iko wapi.
Yaani mtu anabishia biblia halafu anafanyareference quran. Unambishia myahudi unafanya reference kwa mwarabu watu wenye tofauti kabisa, au unambishia mkerewe na mambo ya mila zake kwa kufanyarefrence kwa mmakonde!
We ukiamini Mohamad ndo mtakatifu wako, usimbishie mtu anaye amini yesu ndo mtakatifu wake. Eti unachoamini wewe sio ila ninachoamini ndio. Ukiuliza kwanini unaambiwa quran imesema, kwani huyo Mungu ambaye wengine tunaamini kwamba ananguvu kuliko kitu chochote ulimwenguni alishindwaje kuhifadhi kitabu chake kisichakachuliwe badala yake akiache alete kitabu kingine! Kama mungu alishindwa kuwadhibiti wachakachuaji zaburi unajuaje kwamba amewadhibiti wasichakachue quran, kwa sababu wanaotumia biblia ni binadamu walewale kama wanaotumia quran.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom