Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 8,367
- 10,395
Basi na nyinyi pia mnajimilikisha kitabu cha WayahudiNdio unajua leo
Basi na nyinyi pia mnajimilikisha kitabu cha WayahudiNdio unajua leo
Nani kasema hayapo kwenye Qur’anKwahiyo maneno yenu kuhusu Zaburi kuguswa hayako kwenye Quran?
Sasa unakuwaje na confidence kusema maneno ya uwongo
Kitabu kipi cha kiyahudi kimeibwa au unasema nyinyi wakristo kuwa mmeiba vitabu vya wayahudi?Sawa. Kwahiyo umekiri kuwa Mohamed kaiba vitabu vya kiyahudi.
Nyinyi mna kaswida.
Daudi alikua Genius mwenye kila aina ya ufundi na vipaji yaani jamaa kila sector alifiti hadi tabia mbaya na uhuni ila nacho mwonea wivu alikua kipenzi cha Mungu mno,yaani Mungu anampenda Daudi kiasi kwamba hata Ibilisi ampelekee umbea mbaya Mungu kumhusu Daudi Mungu atapuuzia jamaa alikua kipanga haswa hadi raha,Daudi huyu jamaa alikuwa hatari sana,alikuwa mbabe sana wa vita ,hajawahi kushindwa vita ,namfananisha na Netenyau ubishi wake ,anapenda sana vita
Jina Daudi Lina maana nyingine tofauti na ile ya kihebrania ,anaitwa pia man of War
Huyu jamaa alipendwa sana na Mungu sababu moja tu, hakuwa mnafiki ,
Mungu kampa Hadi mtaa huko mbinguni, ukisikia Sayuni ,basi huo ni mtaa wa Daudi huko mbinguni
Alikuwa nabii pia mfalme
Biblia inaonyesha Daudi kama Mfalme wa Israeli, lakini pia kama nabii kwa sababu Mungu alinena naye moja kwa moja na kupitia yeye akatoa unabii.
Yesu alimuita pia alimuita Daudi nabii
Yesu alisema
“Daudi mwenyewe alisema kwa Roho Mtakatifu…” (Marko 12:36)
Hii inaonyesha Daudi alinena kwa uongozi wa Roho wa Mungu, kitu kinachoonesha ni karama ya unabii.
Mitume pia walimwita Daudi nabii Petro alisema
“Ndugu, lazima itimie andiko ambalo Roho Mtakatifu alisema kabla kwa kinywa cha Daudi…” Matendo 1:16
“Kwa kuwa alikuwa nabii…” Matendo 2:30
Halafu Zaburi nyingi ni unabii
Daudi aliandika Zaburi nyingi ambazo ni unabii kuhusu Yesu ,kuhusu Israel,kuhusu matukio mengi sana , mfano
Zaburi 22 ni unabii wa mateso ya Yesu
Zaburi 110 ni unabii wa Masihi kukaa mkono wa kuume wa Mungu
Huyu jamaa naweza kumuelezea asubuhi mpaka jioni ,
View attachment 3536653
Kitabu kipi cha kiyahudi kimeibwa au unasema nyinyi wakristo kuwa mmeiba vitabu vya wayahudi?
Sisi hatuna kaswida
Na summarize hapa ili mfanye brainstorming vizur.
According na Quran.
Zaburi imeshushwa kama wahyi kwa Daudi na ni kitabu cha allah
1. Na Hakuna sehem kwenye Quran panaposema Zaburi imeguswa na kuingizwa maneno ya watu.
2. Hakuna ushahidi kuwa Zaburi ilikuwa hivi na sasahivi iko hivi
(Kuongezeka au kupunguza maneno).
Jibu swali kitabu kipi cha wayahudi kimeibiwa na Waislam?Unajizima data bro. Na huna hoja tetezi kama kawaida yako.
Wakristo hatuna shida navyo . Tumevikuta na tunaviamini.
Tourat, Zabur na Injili ni vitabu vya wayahudi.
Waarabu na Quran na Uislam wanasema pia ni vyao vilishushwa na allah ila eti hivi vitabu tunavyoviona sasahivi si9 sahihi kwamba vimechakachuliwa na inabid tuamini Quran 😁😁😁😂😂
Kwa akili ndogo tu hapo. Unaona kabisa setting ilivyowekwa ili kuchota watu akili.
😎😎😎😎😎 mtu mwenye akili ndogo sana ndio anaweza kuamini hayo.
Fumbo mfumbie mjinga. Ila mwerevu atalifumbua.
Oya sio poa ,Ujue ukimsoma Daudi na Sauli, mwenye madhambi mengi ni Daudi, Sauli kosa lake ilikuwa kwenda kwa mganga yule wa endoriDaudi alikua Genius mwenye kila aina ya ufundi na vipaji yaani jamaa kila sector alifiti hadi tabia mbaya na uhuni ila nacho mwonea wivu alikua kipenzi cha Mungu mno,yaani Mungu anampenda Daudi kiasi kwamba hata Ibilisi ampelekee umbea mbaya Mungu kumhusu Daudi Mungu atapuuzia jamaa alikua kipanga haswa hadi raha,
Hivi hamis77 unajua raha ya kua na toto genius,tundu lenye matukio mtaani ila ni kipanga hamna mfano?
Ndio Daudi huyo!
😅😅
Upo ,kama Daudi ushahidi upoAsante kwa kutujuza waandishi Hawa,Je ushahidi kama kweli waliandika upo?
Ok hao wengine nao upo?Upo ,kama Daudi ushahidi upo
Yesu kaja kaikuta Tanakh ambayo ndiyo biblia ya kiyahudi au agano la kale ,kanukuu humo humo na mitume wamerejea humoOk hao wengine nao upo?
Asante, hapo umemaanisha asilimia 70% ya Zaburi aliandika Daudi au Daudi aliandika Zaburi 73 kati ya 150 ambayo ni almost 50%?Yesu kaja kaikuta Tanakh ambayo ndiyo biblia ya kiyahudi au agano la kale ,kanukuu humo humo na mitume wamerejea humo
Zaburi Ina waandishi ,70% ni Daudi, lakini Kuna Hadi zaburi ya Musa,Suleiman ,Wana wa kora,asafu, n.k
Hawa Wana wa Asafu walikuwa waimbaji hekaluni wanatoka ukoo wa Walawi,
Nyimbo nyingi za uvuvio ziliwekwa kwenye zaburi .
Na kila Zaburi kwa asilimia kubwa ziliandikwa na muandishi,mfano za Daudi nyingi ndio maana zinajulikana ,
Kwahiyo ukisema kwa roho mtakatifu tiar umekuwa nabii?Daudi huyu jamaa alikuwa hatari sana,alikuwa mbabe sana wa vita ,hajawahi kushindwa vita ,namfananisha na Netenyau ubishi wake ,anapenda sana vita
Jina Daudi Lina maana nyingine tofauti na ile ya kihebrania ,anaitwa pia man of War
Huyu jamaa alipendwa sana na Mungu sababu moja tu, hakuwa mnafiki ,
Mungu kampa Hadi mtaa huko mbinguni, ukisikia Sayuni ,basi huo ni mtaa wa Daudi huko mbinguni
Alikuwa nabii pia mfalme
Biblia inaonyesha Daudi kama Mfalme wa Israeli, lakini pia kama nabii kwa sababu Mungu alinena naye moja kwa moja na kupitia yeye akatoa unabii.
Yesu alimuita pia alimuita Daudi nabii
Yesu alisema
“Daudi mwenyewe alisema kwa Roho Mtakatifu…” (Marko 12:36)
Hii inaonyesha Daudi alinena kwa uongozi wa Roho wa Mungu, kitu kinachoonesha ni karama ya unabii.
Mitume pia walimwita Daudi nabii Petro alisema
“Ndugu, lazima itimie andiko ambalo Roho Mtakatifu alisema kabla kwa kinywa cha Daudi…” Matendo 1:16
“Kwa kuwa alikuwa nabii…” Matendo 2:30
Halafu Zaburi nyingi ni unabii
Daudi aliandika Zaburi nyingi ambazo ni unabii kuhusu Yesu ,kuhusu Israel,kuhusu matukio mengi sana , mfano
Zaburi 22 ni unabii wa mateso ya Yesu
Zaburi 110 ni unabii wa Masihi kukaa mkono wa kuume wa Mungu
Huyu jamaa naweza kumuelezea asubuhi mpaka jioni ,
View attachment 3536653
Ndugu yangu usiingie mkenge daud siyo Mfalme na nabii balii baud ni Mfalme pekeeDaudi ni mfalme na nabii.
Sasa jibu maswali yangu
Alikuwa na manabii ni kweli ,lakini pia alikuwa nae pia ni nabii ,Kwahiyo ukisema kwa roho mtakatifu tiar umekuwa nabii?
Daud alikuwa Mfalme pekee wala siyo nabii, biblia takatifu inaonesha wazi kabisa kuwa pale MWENYEZI MUNGU alipokuwa anataka kuwasiliana na Mfalme daud alituma manabii wake
Mfano samwel wa pili 12 na samwel wa pili sura ya 7 na samwel wa pili sura 24 aya ya 11
Nyinyi ndo hamsomi hata Biblia yenu ila wajuaji kinoma🤣🤣🤣Kwahiyo ukisema kwa roho mtakatifu tiar umekuwa nabii?
Daud alikuwa Mfalme pekee wala siyo nabii, biblia takatifu inaonesha wazi kabisa kuwa pale MWENYEZI MUNGU alipokuwa anataka kuwasiliana na Mfalme daud alituma manabii wake
Mfano samwel wa pili 12 na samwel wa pili sura ya 7 na samwel wa pili sura 24 aya ya 11
Naipenda sana zaburi ya 90 zaburi ya mussaAsante, hapo umemaanisha asilimia 70% ya Zaburi aliandika Daudi au Daudi aliandika Zaburi 73 kati ya 150 ambayo ni almost 50%?
Namaanisha karibu asilimia 70 ya zaburi kaziandika Daudi, kifupi yeye ndiye kaandika Zaburi nyingiAsante, hapo umemaanisha asilimia 70% ya Zaburi aliandika Daudi au Daudi aliandika Zaburi 73 kati ya 150 ambayo ni almost 50%?