hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,669
- 27,559
Jibu basi Neno ZABURI ndani ya Quran ,maana yake ipi ? Muhammad alilitoa wapi au halina maana ?Hakuna neno kama hilo watu tunaelewa kila kitu ndugu
Jibu basi Neno ZABURI ndani ya Quran ,maana yake ipi ? Muhammad alilitoa wapi au halina maana ?Hakuna neno kama hilo watu tunaelewa kila kitu ndugu
Haya Leta Zaburi OriginalHayo ni maneno ya watu , ushahidi haupo
Unaelewa kila kitu ,ila maana ya Zaburi na asili yake ndani ya Quran inafanya nini hujui na maswali unakwepa🤣🤣Hakuna neno kama hilo watu tunaelewa kila kitu ndugu
Niambie basi wewe mwenye Quran ,Umejuaje kama hajui maana yake
Naona ulilokuwa unaliwaza wakati unaniambia nikuletee maana ya Zabur limeenda vibaya🤣🤣🤣
Neno “Zaburi” umetoa wapi?Umejuaje kama hajui asili yake?
Maana ya Zabur umeletewa uliza sasa maswali sio kuonyesha masikitiko yako
Kwani nilipewa mimi ??Haya Leta Zaburi Original
Neno “Zaburi” umetoa wapi?
Je, ni Kiarabu au Kiebrania?
Kama ni Kiebrania, kwa nini Qur’an itumie neno la dini nyingine kama ni ufunuo kamili wa mwisho?
“Na tulimpa Daud Zaburi.” (Qur’an 4:163)
“…Amewawekea nyinyi, enyi watu, Sheria ya Dini tuliyokuletea kwa njia ya wahyi, ewe Mtume, nayo ni Uislamu, na ile Aliyomuusia Nūḥ aifuate kivitendo na aifikishe kwa watu, na ile aliyowausia Ibrāhīm, Mūsā na Īsā (Watano hawa ndio Ulū al- 'azm [wenye hima] miongoni mwa Mitume kulingana na kauli iliyo mashuhuri) kwamba msimamishe Dini kwa kumpwekesha Mwenyezi Mungu, kumtii na kumuabudu Yeye na sio mwingine, na msitafautiane katika Dini ambayo nimewaamrisha muifuate. Ni kubwa mno juu ya washirikina lile mnalowalingania la kumpwekesha Mwenyezi Mungu na kumtakasia ibada. Mwenyezi Mungu Anamchagua Anayemtaka miongoni mwa viumbe Vyake awe ni mwenye kumpwekesha na Anamuongoza yule anayerejea Kwake afanye matendo ya utiifu Kwake” (Qur’an 42:13)
“Zaburi si ya Ukristo, ni ufunuo wa Mungu kwa Nabii Daud. Qur’an haitumii neno la dini nyingine, bali inathibitisha ufunuo ule ule wa Mungu. Na kutumia neno lenye asili ya kale hakupunguzi ufunuo wa Qur’an, kwani lugha hubeba maneno kutoka tamaduni tofauti.”
Jibu basi Neno ZABURI ndani ya Quran ,maana yake ipi ? Muhammad alilitoa wapi au halina maana ?
dini ya kiislam imejaa vitu ambavyo hata mungu mwenyewe huenda anavishangaa. Unamlazisha Mungu kwamba ameshusha kitabu cha zaburi wakati walioandika waliwahi ishi hapa duniani, halafu huyo mungu ashushe kitu watu wachakachue awatazame tu kwani hao watu ndo wanao mwamulia Mungu cha kufanya?, Ile zuburi iliyochakachuliwa na hao watu iko wapi.
Yaani mtu anabishia biblia halafu anafanyareference quran. Unambishia myahudi unafanya reference kwa mwarabu watu wenye tofauti kabisa, au unambishia mkerewe na mambo ya mila zake kwa kufanyarefrence kwa mmakonde!
We ukiamini Mohamad ndo mtakatifu wako, usimbishie mtu anaye amini yesu ndo mtakatifu wake. Eti unachoamini wewe sio ila ninachoamini ndio. Ukiuliza kwanini unaambiwa quran imesema, kwani huyo Mungu ambaye wengine tunaamini kwamba ananguvu kuliko kitu chochote ulimwenguni alishindwaje kuhifadhi kitabu chake kisichakachuliwe badala yake akiache alete kitabu kingine! Kama mungu alishindwa kuwadhibiti wachakachuaji zaburi unajuaje kwamba amewadhibiti wasichakachue quran, kwa sababu wanaotumia biblia ni binadamu walewale kama wanaotumia quran.
Sawa. JeQur’an haikanushi asili ya Zaburi, lakini inakanusha usalama wa maandiko ya awali kwa ujumla. Na historia yenyewe inaonyesha Zaburi hazikubaki katika toleo moja. Kwa hiyo hoja si “Zaburi ni uongo”, bali “Zaburi ya leo haiwezi kuthibitishwa kuwa ile ile ya Daudi.”
Zaburi ya leo haiwezi kuthibitishwa kuwa ile ile ya Daudi.”
Kama Mungu alishindwa kuhifadhi Zaburi, kwa nini Yesu na Mitume waliendelea kuzinukuu kama Neno la Mungu, ilhali tayari zilikuwa zimeandikwa na wanadamu?
Chagua moja tu,Zaburi ndani ya Qur’an lina maana: ni ufunuo wa Mungu kwa Nabii Daud. Muhammad ﷺ hakulitoa kwa nafsi yake bali kwa wahyi. Kutumia jina lile lile si kukopa, ni kuthibitisha ufunuo ule ule wa Mungu.
Hivi hayo unakopi kwa CHATGPT unayosoma au unakopi tu,?Umeuliza: Neno “Zaburi” umetoa wapi?
Majibu:
Neno Zaburi limetajwa moja kwa moja ndani ya Qur’an:
Kwa hiyo, chanzo chake kwa Muislamu ni Qur’an, si Mkristo wala Myahudi.
Ukauliza : Je, “Zaburi” ni Kiarabu au Kiebrania?
Majibu:
Ndiyo, kihistoria:
Asili ya neno liko karibu na Kiebrania “Tehillim”
Au Kisyria/Aramu “Zabura” (maandiko, nyimbo)
Lakini Qur’an haikanushi kutumia maneno yasiyo ya asili ya Kiarabu.
Waarabu wa zama za Mtume ﷺ tayari walitumia maneno mengi ya kigeni:
Injil,Taurat ,Fir’aun , Iblis ,Sijjil
Maneno haya yalikuwa yamearabiishwa na yakawa sehemu ya lugha ya Kiarabu.
Ukauliza: Kwa nini Qur’an itumie neno la “dini nyingine”?
Majibu:
Hapa kuna kutokufahamu ki msingi.
Zaburi si ya dini nyingine
Zaburi ni ufunuo wa Mwenyezi Mungu kwa Nabii Daud (alayhi salam)
Uislamu unaamini: Musa → Taurat, Daud → Zaburi , Isa → Injil , Muhammad ﷺ → Qur’an
KUMBUKA : Mungu ni Mmoja, dini ni moja (Uislamu), Mitume ni wengi.
Qur’an inasema:
Kwa hiyo:
Qur’an haitumii “neno la dini nyingine”
Inathibitisha ufunuo ule ule wa Mungu kwa Mitume waliotangulia
Kwa kumalizia:
Ila wewe unafurahisha kweli🤣🤣🤣Neno “Zaburi” umetoa wapi?
Je, ni Kiarabu au Kiebrania?
Kama ni Kiebrania, kwa nini Qur’an itumie neno la dini nyingine kama ni ufunuo kamili wa mwisho?
Maneno kama yapi?Kwa nini Qur’an itumie maneno ya vitabu vya awali bila kuyarekebisha kimaudhui kama yalikuwa yamepotoshwa?
Hao waandishi wa Qur’an wamenakili na hawajatumia maneno yao kuandika Qur’an tofauti na vitabu vyenu ambavyo wenyewe mnakiri kuwa ni maneno ya watuHebu tuambie. Je Kuna kitabu cha allah ambacho hakijaandikwa kwa mikono ya Binadamu?.
kaongea huyo aliyeleta madaSawa. Je
Haya kaongea Mohamed au nani?.
Hebu tuambie. Je Kuna kitabu cha allah ambacho hakijaandikwa kwa mikono ya Binadamu?.
kaongea huyo aliyeleta mada