Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 24,808
- 44,594
NAbii ni cheo cha MWENYEZI MUNGU hivyo ili uwe nabii ni lazima MUNGU mwenyewe akutaje siyo utwaje na waarabu washenzi wa makha MWENYEZI MUNGU anamtaja daudi kama Mfalme 1samwel 16Nyinyi ndo hamsomi hata Biblia yenu ila wajuaji kinoma🤣🤣🤣
Kwenye Biblia kuna sehemu wameandika Daudi alikuwa Nabii