Jina la Yesu lina TBS kuzidi majina mengine yote

Jina la Yesu lina TBS kuzidi majina mengine yote

Kijana wa Kizimkazi 2030

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2026
Posts
4,774
Reaction score
10,056
Amani iwe nanyi wapendwa.......Back in days mimi ni under 30 leo nitatoa ushuhuda kidogo kuhusu huyu Yesu kristu aketiye mahali pa juu sana mbinguni

1. Niliitwa nikiwa chini kabisa

· Zaburi 40:2 – "Akanitoa katika kisima cha uharibifu, na katika matope matepete; akasimamisha miguu yangu juu ya mwamba..."
· 1 Wakorintho 1:27 – "Mungu alivichagua vilivyo dhaifu mbele ya ulimwengu, ili kuviaibisha vilivyo na nguvu."

2. Jina lake likafungua milango ya kazi na ajira

· Ufunuo 3:8 – "Tazama, nimeweka mbele yako mlango ulio wazi, ambao hapawezi kufungwa na mtu."
· Mwanzo 39:3 – "Bwana akamwona Yusufu, akafanikisha kila alichokifanya."

3. Alinipa hekima ya biashara

· Yakobo 1:5 – "Lakini mtu yeyote akipungukiwa na hekima, na aombe kwa Mungu... naye atapewa."
· Kumbukumbu la Torati 8:18 – "Bwana Mungu wako ndiye akuwezaye kupata mali."

4. Aliniondoa kwenye madeni

· 2 Wafalme 4:7 – "Uende ukaue mafuta, ukalipa deni lako..." (hadithi ya mwanamke mjane)
· Zaburi 37:21 – "Mwovu hukopa wala halipi; bali mwenye haki humhurumia na kutoa."

5. Aliniponya na maradhi

· Kutoka 15:26 – "Mimi ndimi Bwana mponyaji wako."
· 1 Petro 2:24 – "Kwa kupigwa kwake mliponywa."
Mathayo8:17-Aliubeba udhaifu wetu na kutuponya magonjwa yetu

6. Alilinda familia yangu na ajali

· Zaburi 121:7 – "BWANA atakulinda na mabaya yote; atailinda nafsi yako."
· Mithali 18:10 – "Jina la BWANA ni ngome imara; mwenye haki hukimbilia humo, aka salama."

7. Alinipa mtaji wa kuanzisha duka

· Mithali 22:1 – "Jina jema lauzidi utajiri mwingi." (Mungu akakupa kibali)
· Luka 6:38 – "Wapeni nao watawapa; kipimo kizuri, kilichoshindiliwa..."

8. Aliniletea wateja waaminifu

· Mithali 3:4 – "Upate kibali na akili njema mbele ya Mungu na mbele ya watu."
· Zaburi 5:12 – "Kwa kuwa wewe, BWANA, utambariki mwenye haki..."

9. Alinipa heshima mbele ya wakuu

· Danieli 2:48 – "Mfalme akamwinua Danieli, akampa zawadi nyingi, akamfanya mtawala..."
· Zaburi 75:6-7 – "Kuinua kwapatikana si kutoka mashariki, wala magharibi... bali Mungu ndiye mwamuzi."

10. Leo ninaishi maisha ya utajiri na amani

· 3 Yohana 1:2 – "Nakutakia mambo yote yamekwenda vizuri, nawe uwe na afya, kama roho yako ivyofanikiwa."
· Yoshua 1:8 – "Ndipo utakapofanikiwa, na kuwa na mafanikio mema."

Fungu la kukariri;
Matendo 4:12 – "Wala hapana wokovu katika mwingine, kwa kuwa hakuna jina lingine chini ya mbingu limepewa wanadamu litupasalo kuokolewa, ila Jina la Yesu
Soma pia
Wafilipi 2:9-11:
Kwa sababu hiyo Mungu pia alimwinua sana, akampa jina lililo juu ya kila jina; ili kwa jina la Yesu kila goti lipige magoti, vya viumbe wa mbinguni, na vya hapa duniani, na vya chini ya ardhi; na kila ulimi ukiri kwamba Yesu Kristo ndiye Bwana, kwa utukufu wa Mungu Baba."
 
Yes, Nilikuwa mgonjwa miaka 10 sasa nimepona, Nilikuwa sina kazi nimepata kazi, nilikuwa maskini sasa ni tajiri
umeajiliwa kutokana na kukidhi vigezo sio Yesu, umepona kwa vile ni juhudi za madaktari si Yesu, umekuwa tajiri si kwa sababu ya Yesu bali uliweka nidhamu ya pesa ukaachana na matumizi yasiyo ya lazima. achana na Yesu wa kufikirika.
 
Wangapi wana vigezo mpaka saivi wana 45 age go na hawajaajiriwa?
 
Back
Top Bottom