Waandishi wa kitabu cha Zaburi

Waandishi wa kitabu cha Zaburi

Namzungumzia huyohuyo mnayemzungumzia nyinyi ndio namuuliza huyo mwenzio ambaye hajui chochote kabisa
Je Daudi hakuwa Nabii?
Tunayemzungumzia Sisi ,je Unajua baba yake na ukoo wake ili tujue ni huyo huyo

Maana muhamad alikuwa na character wake anajitungia
 
Hiyo mada ilikushinda ,

Kaa hapa kwenye mada iliyopo ,kama unajiweza

Zaburi maana yake ni nini na asili ya hilo neno ni nini ,ili tujue muhamad hakulishwa matango pori
Ilete tuone ilivyonishinda
 
Mimi nataka tuanze na mjadala huo wa Qur'an kumuita mtawala wa kipindi cha Yusufu kama Farao
Unataka kukimbia mada ? Unaniogopa ?🤣🤣

Nauliza zaburi maana yake nini ?

Kama unataka hiyo mada ,anzisha Uzi nitagi nitakuja
 
Tunayemzungumzia Sisi ,je Unajua baba yake na ukoo wake ili tujue ni huyo huyo

Maana muhamad alikuwa na character wake anajitungia
Acha kunitoa kwenye reli mimi namzungumzia Mfalme Daudi Baba wa Mfalme Selemani
Je hakuwa Nabii kwa mujibu wa Biblia?
 
Mimi nataka tuanze na mjadala huo wa Qur'an kumuita mtawala wa kipindi cha Yusufu kama Farao
Wewe siumetamba hapo ,sasa anzisha hiyo mada Nitag

Kwasasa najadili hii ya zaburi na Daudi

Nitajie maana ya neno Zaburi na asili ya hilo neno

Tujue muhamad alilishwa maneno anayojua maana yake au hajui
 
Kwani nani wa kwanza kumuuliza mwenzake hapa?
Mimi ndio nakuuliza sasa hapa

Nitajie maana ya neno Zaburi na asili ya hilo neno

Tujue muhamad alilishwa maneno anayojua maana yake au hajui

KAMA HUWEZI SEMA SIWEZI ,ACHA KUZUNGUKA ZUNGUKA
 
Acha kunitoa kwenye reli mimi namzungumzia Mfalme Daudi Baba wa Mfalme Selemani
Je hakuwa Nabii kwa mujibu wa Biblia?
Nishajibu alikuwa nabii na mfalme ,hiyo hata sio mada ,wewe unamzungunzia Daudi yup wa ukoo upi?

Haya kazi kwako

Nitajie maana ya neno Zaburi na asili ya hilo neno

Tujue muhamad alilishwa maneno anayojua maana yake au hajui

KAMA HUWEZI SEMA SIWEZI ,ACHA KUZUNGUKA ZUNGUKA
 
Kwani nani wa kwanza kumuuliza mwenzake hapa?
Fatilia comment za nyuma ,nimemjibu ni nabii kwa mujibu wa biblia ,

Nimekurudia wewe ,nimeona unamtaja Daudi ndio nauliza Daudi yupi?

Muhamad alikuwa anajitungia character ambao anawasingizia na manabii wa kiyahudi

Ili tujue ni yupi, nitajie ni Daudi yupi wa ukoo upi
Nitajie maana ya neno Zaburi na asili ya hilo neno

Tujue muhamad alilishwa maneno anayojua maana yake au hajui

KAMA HUWEZI SEMA SIWEZI ,ACHA KUZUNGUKA ZUNGUKA
 
Daudi alikua Genius mwenye kila aina ya ufundi na vipaji yaani jamaa kila sector alifiti hadi tabia mbaya na uhuni ila nacho mwonea wivu alikua kipenzi cha Mungu mno,yaani Mungu anampenda Daudi kiasi kwamba hata Ibilisi ampelekee umbea mbaya Mungu kumhusu Daudi Mungu atapuuzia jamaa alikua kipanga haswa hadi raha,
Hivi hamis77 unajua raha ya kua na toto genius,tundu lenye matukio mtaani ila ni kipanga hamna mfano?
Ndio Daudi huyo!
😅😅
Watu mnachekesha hatariii, ko Daud alipendwa na Mungu kuliko Mtoto Yesu uzao wake??
😂😂😂😂😂😂😂
 
Wewe siumetamba hapo ,sasa anzisha hiyo mada Nitag

Kwasasa najadili hii ya zaburi na Daudi

Nitajie maana ya neno Zaburi na asili ya hilo neno

Tujue muhamad alilishwa maneno anayojua maana yake au hajui
Jifunze kuleta hoja za maana zenye mashiko🤣🤣

Sasa maana ya neno Zabur na asili yake vina faida gani?

Au wewe unaweza kumuambia mtu maana ya neno Biblia na asili yake kwa kutumia maandiko??🤣🤣

Lete hoja fikirishi
 
Fatilia comment za nyuma ,nimemjibu ni nabii kwa mujibu wa biblia ,

Nimekurudia wewe ,nimeona unamtaja Daudi ndio nauliza Daudi yupi?

Muhamad alikuwa anajitungia character ambao anawasingizia na manabii wa kiyahudi

Ili tujue ni yupi, nitajie ni Daudi yupi wa ukoo upi
Nitajie maana ya neno Zaburi na asili ya hilo neno

Tujue muhamad alilishwa maneno anayojua maana yake au hajui

KAMA HUWEZI SEMA SIWEZI ,ACHA KUZUNGUKA ZUNGUKA
Tatizo sio wewe tatizo huyo mwenzio Beira Boy ndio nataka hajibu maana yeye anakomaa hakuwa Nabii
 
Jifunze kuleta hoja za maana zenye mashiko🤣🤣

Sasa maana ya neno Zabur na asili yake vina faida gani?

Au wewe unaweza kumuambia mtu maana ya neno Biblia na asili yake kwa kutumia maandiko??🤣🤣

Lete hoja fikirishi
Nimekwambia kwa maandiko ?sio kila kitu ni maandiko

Nimekuuliza swali na Lina msingi mkubwa tu kama huwezi sema siwezi

Kwahiyo muhamad alikuwa anaingiza maneno hajui maana yake ?

NARUDIA nitajie maana ya neno Zaburi na asili yake ni wapi

Tunaanzia hapo tujue mudy aliingiza neno au maneno asiyojua kama matusi au ni nini

Kama hujui nyooka sijui
 
Tatizo sio wewe tatizo huyo mwenzio Beira Boy ndio nataka hajibu maana yeye anakomaa hakuwa Nabii
Biblia ni Pana ,nimempa Aya na ameona

Sasa Baki na Mimi hapa ,nataka kujua huyu Daudi ni yupi unayemzungunzia wewe ?

Maana Daudi ni myahudi ,aliyeandika Zaburi na kutabiri kufa na kufufuka kwa Yesu

Wewe unamzungumzia Daudi yupi ?
 
Mimi nataka tuanze na mjadala huo wa Qur'an kumuita mtawala wa kipindi cha Yusufu kama Farao
Maswali yangu yamekushinda ? Unaogopa ?

Safi nilijua hayo maswali huwezi kujibu hata aje sheikh

Hii mada ngumu kwako

Ukitaka hiyo mada yako anzisha Uzi nitagi ,nimekupa masharti hayo ,siwezi kubadili mada hapa ,

Najua unaogopa sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom