Hivi hayo unakopi kwa CHATGPT unayosoma au unakopi tu,?
Tatizo si Daudi, tatizo si Zaburi tatizo ni Qur’an kutumia neno lenye historia, lugha, na maana iliyo wazi, kisha kuliacha ligongane na mafundisho yake yenyewe.
Mimi nauliza maswali katika
lugha
historia
mantiki
consistency ya ufunuo
Kwa nini Qur’an itumie maneno ya vitabu vya awali bila kuyarekebisha kimaudhui kama yalikuwa yamepotoshwa?
usishindwe na wewe kwenda chartgtp ; au wakristo hawaruhusiwi ??
Qur’an inatumia maneno ya awali ili kuthibitisha usahihi na kuonyesha yaliyopotoshwa; kubadilisha kila kitu kungepoteza uthibitisho wake wa historia na mantiki