Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Mfupi akiwa Messi,Mrisho Ngassa tutamuitaje?:uzito wa balon d'or 5 kwa zake soksi, ila miguu haijapata tege:mpinzani wake CR7 sijui ana mkosi,au anatumia mbege?
Mbege hainyweki kirahisi, ni aibu kwa mtu kama messi, kunywa pombe za mwendokasi, labda bia za kidosi
hukohuko ulaya spanish
Sio kwa wachaga moshi
ndizi nyingi mbege magumashi
 
Mbege hainyweki kirahisi, ni aibu kwa mtu kama messi, kunywa pombe za mwendokasi, labda bia za kidosi
hukohuko ulaya spanish
Sio kwa wachaga moshi
ndizi nyingi mbege magumashi
Magumashi ya messi kutolipa kodi Spain anapenda vya bure bure
 
Back
Top Bottom