salthanks
JF-Expert Member
- Aug 5, 2016
- 3,284
- 6,862
Kulala sio wakati wake huu,niko kwny shift ya usikuHairidhishi kwa Sababu mkuu hutaki kulala
Kulala sio wakati wake huu,niko kwny shift ya usikuHairidhishi kwa Sababu mkuu hutaki kulala
Usiku tumeumbiwa kwa ajili ya kulala lakini ndio hatuna budi kushughulika ili tujikimu kimaisha,kazi ni kazi tu ila kunyanyua mkono kuomba au kuiba ndio aibuKulala sio wakati wake huu,niko kwny shift ya usiku
Aibu haipo kwa mwanaume mchapa kaziUsiku tumeumbiwa kwa ajili ya kulala lakini ndio hatuna budi kushughulika ili tujikimu kimaisha,kazi ni kazi tu ila kunyanyua mkono kuomba au kuiba ndio aibu
Aibu ya akina dada imepotea cku hizi,mwanamke anaweza akakukodolea macho mpaka unatizama chini bila ya kupendaAibu haipo kwa mwanaume mchapa kazi

Moyo wa binaadam umeumbwa ni wenye tamaa isiyo na mipakaKupenda ni kujipa maradhi ya moyo
Kapuni kuna dalili ya dili kutoka na mambo kurudi kama AwaliDili sasa zimwekwa kapuni
Asubuhi njema wana JF wenzanguAwali ya yote napenda niwasalimu, habarini za asubuhi
Wenzangu kuweni makini leo ni weekend...Asubuhi njema wana JF wenzangu
Mtihani uliokukumba ni mipango ya Mungu,huna budi kushukuruWenzangu leo nimepatwa na mtihani
Weekend napenda kwenda bahariniWenzangu kuweni makini leo ni weekend...