Christmass ni tarehe 25/12 pia ni siku ya birthday yanguEe ndio kweli tukio la watalii kujakutalii nchini linakaribia msimu huu wa christmass
Yangu sio hiyo, hongera mkuu kwa kuzaliwa tarehe moja na YesuChristmass ni tarehe 25/12 pia ni siku ya birthday yangu
Milele aminaAsifiwe milele
Jina la kike likiwa zuri na mwanamke pia anakuwa mzuriAmina ni jina la kike
Mzuri wa sura hana tabia njema siku zoteJina la kike likiwa zuri na mwanamke pia anakuwa mzuri
Kabisa salthanks hata huku kwetu wapoZote hizo sio sababu,mwanamke aweza kuwa na jina zuri lakini ukamkuta anajiuza kwa bei cheee kabisa
Tule nini, vingine ngumu kumezaWapi huko karibun tule
Aliyevionja sharti aanzie na neno la mwisho wa sentensi km taratibu zilivyo ahsanteniAnavifahamu aliyevionja
Ahsanteni kwa kamchezo naona kamenogaAliyevionja sharti aanzie na neno la mwisho wa sentensi km taratibu zilivyo ahsanteni
Kamenoga, kama kichumambogaAhsanteni kwa kamchezo naona kamenoga