Alwatan wetu upo kizalendo japo Diaspora wamenyimwa ardhi .......Hayupo humu ndani huyo alwatan
Huku kuna vuguvugu siwezi kuja bila kusindikizwa.....Aliwatan nakutafuta ukuje huku
Mkuu tuongozane kwenye hafla ya wahahitimu wa chuo.....Kusindikizwa wapi mkuu
Wanaohitimu anawajua huyo huyo ZZChuo gani chenye wanafunz wanaohitimu
Zuzu ndiye aliyevumbua bajaji.....ZZ UU = Z+U(Z+U)
=ZU(ZU)
=ZUZU
Bajaji ina matairi matatuZuzu ndiye aliyevumbua bajaji.....
Wanakutimua kwa kuwa hawana busara na masikio ya kumsikia mnyonge.., ila mwenye nacho watamnpigia magoti na kujikomba.....Kienyeji enyeji ukiingia kituo cha polisi wanakutimua
Hillary Clinton habari zake ishakuwa zilipendwa, tujadili mambo mengineKujikomba sana mwisho unaanguka kama Hillary Clinton
H. Clinton "ke" wa kwanza amejaribu kufikia ngazi za urais wa USA, Lakini mfumo dume umemuumbuwa ..!!Kujikomba sana mwisho unaanguka kama Hillary Clinton
Utegemezi wa misaada ndiyo unalemaza taifa na kubaki Omba omba...!!Kujikomba ni dalili mojawapo ya kutokujiamini na utegemezi