mgogoone
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 2,900
- 2,100
Neema za Mungu zimetushukia siku ya leo kuiona salama usalimin ameen
Ameen ZZ anawakilisha jukwaa hili la burudani ya Lugha yetu pendwa
Neema za Mungu zimetushukia siku ya leo kuiona salama usalimin ameen
Vocha siku hizi zinachakachuliwa hata ukichaji muda unayeyuka papohapo !!Kitochi hakitumii sana chaji na vocha
Vocha siku hizi zinachakachuliwa hata ukichaji muda unayeyuka papohapo !!
Mambo vipi humuPapohapo na hapo hapo zinatumika kusisitiza jambo au mambo
Humu mambo mujarabuMambo vipi humu
MAJARABU yanabebeka ukiwa makini ktk ucha mungu....Humu mambo mujarabu
Eden ya enzi za Adam na Hawa?Mungu ameificha wapi bustani ya Eden?
Hawa majirani zetu wanatupa takataka mbele ya duka letu....Eden ya enzi za Adam na Hawa?
Letu ni wingi wa langu....Hawa majirani zetu wanatupa takataka mbele ya duka letu....
Langu pekee yangu, sija share na mtu hilo duka.....Letu ni wingi wa langu....
Hawa majirani zetu wanatupa takataka mbele ya duka letu....
Uso ni picha ya mbele..., Lakini "ana " ni neno la kiarabu yaani "mimi" Sasa ana kwa ana ni "mimi na wewe" tuonane livu.....Letu jukwaa la wa mwisho ndio mshindi Lina raha sana tunajifunza misamiati mingi Na tunajuana bila ya kuonana ana Kwa ana.
Hivi Kwa nini wana sema "ana Kwa ana" badala ya uso Kwa uso?
Uso ni picha ya mbele..., Lakini "ana " ni neno la kiarabu yaani "mimi" Sasa ana kwa ana ni "mimi na wewe" tuonane livu.....
Anna ?? Mkuu umeniua tena kifo cha dafrao !! au sijui nikimbilie wapi..? Kumbe mgogoone mwenzangu ni Al-watan mantashau...Livu nimeipata Asante Kwa ufafanuzi mzuri sina maswali mawili ya nyongeza Mh ZZ basi Mola akipenda "nahnu (sisi) tuonane anta wa anna
Nini maana ya watani wa jadi wanapokutana., muulize mgogoone yeye ndiyo aliye nikaribisha...Al-watan mantashau maana yake nini