Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,735
- 76,363
Omba Omba naona siku hizi wamehamia maeneo ya stesheniUtegemezi wa misaada ndiyo unalemaza taifa na kubaki Omba omba...!!
Omba Omba naona siku hizi wamehamia maeneo ya stesheniUtegemezi wa misaada ndiyo unalemaza taifa na kubaki Omba omba...!!
Stesheni kuna wasaa wa kujihifadhi na kupumzika ......Omba Omba naona siku hizi wamehamia maeneo ya stesheni
Kupumzika kwa raha ni beachStesheni kuna wasaa wa kujihifadhi na kupumzika ......
beach kuna viabaka wengi siku hizi, Ukiamuwa kwenda jipange na ulinzi uwe nao wakutoshaKupumzika kwa raha ni beach
Nao wakutosha samaki kutoka Ziwa Victoriabeach kuna viabaka wengi siku hizi, Ukiamuwa kwenda jipange na ulinzi uwe nao wakutosha
Ziwa victoria linaunganisha nchi 3 Tanzania, uganda na KenyaNao wakutosha samaki kutoka Ziwa Victoria
Kenya kiuchumi wametupitaZiwa victoria linaunganisha nchi 3 Tanzania, uganda na Kenya
Pita mpaka ndani karibu mgeni jiskie upo nyumbaniKenya kiuchumi wametupita
Nyumbani ni wapi nijePita mpaka ndani karibu mgeni jiskie upo nyumbani
Nije na zawadi gani unapenda nimpe ZZ akuletee na vinywajiNyumbani ni wapi nije
Vinywaji soft drinks... Zawadi niletee pafyumNije na zawadi gani unapenda nimpe ZZ akuletee na vinywaji
Pafyum gani unapenda nikuletee nitajie jinaVinywaji soft drinks... Zawadi niletee pafyum
Jina la pafyum ni possessPafyum gani unapenda nikuletee nitajie jina
Possess pafyum nzuri usijali atug nimenote tayari nitakufanyia sapraiz siku mojaJina la pafyum ni possess
Siku moja hiyo nitafurahi mnoooPossess pafyum nzuri usijali atug nimenote tayari nitakufanyia sapraiz siku moja
Sita amefariki juzi hospitalini ujerumaniMoja mbili tatu nne tano sita
Ujerumani yupo anti yangu kipenziSita amefariki juzi hospitalini ujerumani
Kipenzi chako umemkumbuka leo atajing'ata ulimiUjerumani yupo anti yangu kipenzi