gbefa
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 3,807
- 15,846
Mimi namuunga mkono kama trumpMagufuli uongozi wake hata siuelewi mimi
Mimi namuunga mkono kama trumpMagufuli uongozi wake hata siuelewi mimi
Trump tuondolew bombadierMimi namuunga mkono kama trump
Michele wa MorogoroUngo wa kupepetea mchele
Bahari zipo tano tu ulimwenguniMorogoro mji kasoro bahari
Bahari zipo tano tu ulimwenguni
Ajabu ni pale unaonewa na kudhalilishwa lakini unashindwa kupigania haki yakoUlimwenguni kuna mambo ya Ajabu
Wazo langu nililowapa Usalama wa taifa wamelichukulia makini......Mawazo mazuri uzaa maendeleo,kila kitu uanza na wazo
Makini ni mtu ambaye hafanyi vitu kimchezo mchezoWazo langu nililowapa Usalama wa taifa wamelichukulia makini......
Tosha kutamba katika jukwaa usiku wa leo.....Mchezo wa mpira wa miguu ni burudani tosha.
Leo ni 10/11/2016 alhamisiTosha kutamba katika jukwaa usiku wa leo.....
Alhamisi ni siku yenye baraka kama siku zingine zote zenye neema....Leo ni 10/11/2016 alhamisi
Mchezo wa mpira wa miguu ni burudani tosha.
Neema za Mungu zimetushukia siku ya leo kuiona salama usalimin ameenAlhamisi ni siku yenye baraka kama siku zingine zote zenye neema....
Nafarijika sana kuona Ndg. mgogoone umerudi ktk mtandao wetu kuunganisha...Tosha Au murwa burudani langu NI mchezo wa golf. Nafarijika sana