atug
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 2,821
- 3,618
Atajing'ata ulimi msemo huu wanaupenda watu ukisema umemkumbuka mtuKipenzi chako umemkumbuka leo atajing'ata ulimi
Atajing'ata ulimi msemo huu wanaupenda watu ukisema umemkumbuka mtuKipenzi chako umemkumbuka leo atajing'ata ulimi
mtu yotote anaekupenda hawezi kukuongelea vibayaAtajing'ata ulimi msemo huu wanaupenda watu ukisema umemkumbuka mtu
Kukuongelea vibaya na akajidai anakupenda ujue huyo ni mnafikimtu yotote anaekupenda hawezi kukuongelea vibaya
Ahera ni mahesabu, malipo ni hapa hapa dunianiMnafiki kaandaliwa adhabu kali huko ahera
duniani tunapita...... kama tuko safariniAhera ni mahesabu, malipo ni hapa hapa duniani
Safarini tutakutana na vikwazo vingi, milima na mabonde tusikate tamaaduniani tunapita...... kama tuko safarini
Evelyn salt hope ameupata ujumbe wakoMepesi huwa maisha pale ukiwa na wako umpendae imean Evelyn salt