Picha yake ipo kwenye avatar yake mkuuJasiri sylazie tuthibitishie apa kwa picha
Tena na wewe umepotea siku hizi nini kimekusibu mpaka unakuwa bizePicha tena
Akili nyingi mara nyingi huwa na maarifa madogoMarketing inahitaji sana akili
Chini ndipo msingi unapoanziaJuu kufika lazima uanzie chini
Chini ndipo msingi unapoanzia
Nani anajua?tusubiri tu matokeoUnapoanzia alipoishia yule unaendeleza gurudumu la wa mwisho ndio mshindi, na mshindi wetu huko duniani Panapoitwa America so far ni nani?
Matokeo mpaka sasa ni kwamba Trump anaongoza....Nani anajua?tusubiri tu matokeo
Mwisho wa siku mjomba Trump ndo mshindiAnaongoza ila hajafikia kilele, tusubiri kipeng'a cha mwisho
Mbele ya mungu tutauliwa matendo yetu na siyo ya Trump au wengine... tujizatiti!!Mshindi keshapatikana before 24 hours, ingekuwa bongo ni uchakachuwaji kwa kwenda mbele.