atug
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 2,821
- 3,618
Tujizatiti na sie watanzania kufanya mabadiliko ktk nchi yetuMbele ya mungu tutauliwa matendo yetu na siyo ya Trump au wengine... tujizatiti!!
Tujizatiti na sie watanzania kufanya mabadiliko ktk nchi yetuMbele ya mungu tutauliwa matendo yetu na siyo ya Trump au wengine... tujizatiti!!
Amani na uzima yawe juu yako popote ulipo hadi ufikapo ntakupokea kwa madufu na Qaswida..Yetu Tanzania ndo yenye amani
Fashion ndiyo inalipa siku hizi kwa kuwa mtindo unaenda na kizazi kipya.....Qaswida za siku hizi wanaimba Kama fashion
kinyemi kwa trumpKipya kinyemi
Mshindi ambaye wengi hawakumtegemeaTrump ndo mshindi
Hawakumtegemea kuwasili mchana huu bila kutoa taarifa !!Mshindi ambaye wengi hawakumtegemea
Taarifa sometimes ya muhimu ohh utajikuta unajisapraizHawakumtegemea kuwasili mchana huu bila kutoa taarifa !!
Mwenyewe tu ndiyo anajua alipoficha ufunguo.....!!Unajisapraiz Mwenyewe tu
Umeuficha ule ufungo wa chumba cha wageni, Sasa mgeni amesimama nje na mabegi...Ufunguo wangu kumbe wewe ndo umeuficha
Mabegi mengi yamepakiwa tayari akina Jay Z kurudi kwao BukobaUmeuficha ule ufungo wa chumba cha wageni, Sasa mgeni amesimama nje na mabegi...
Bukoba ni mji pekee yenye mandhari nzuri na hewa nadhifu kkabisa kuliko kote hapa nchiniMabegi mengi yamepakiwa tayari akina Jay Z kurudi kwao Bukoba
Nchini watu tunafurahia ushindi wa TrumpBukoba ni mji pekee yenye mandhari nzuri na hewa nadhifu kkabisa kuliko kote hapa nchini
Trump kwangu namuona wa kawaida, kwani mie bado ninafurahia ushindi wa "hapa kazi tu" Rais JPM!!Nchini watu tunafurahia ushindi wa Trump
JPM anahitaji watu wafanye kaziTrump kwangu namuona wa kawaida, kwani mie bado ninafurahia ushindi wa "hapa kazi tu" Rais JPM!!