Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Sharomilionea kifo chake kilikuwa tofauti kidogo ukifananisha na kile cha ngwair na langa
 
Hizi ni mvua za vuli sio masika ni dalili ya pepo za kaskazi, kwa sisi wavuvi kipindi chetu cha neema ya samaki
Samaki mkunje angali mbichi,kijana acha ubishi ukikunjwa nawe kunjika la sivyo utavunjika:guu kwa kutosikia la mkuu ushauri nishakupa naondoka huwa sipendi makuu
 
  • Thanks
Reactions: Auz
Samaki mkunje angali mbichi,kijana acha ubishi ukikunjwa nawe kunjika la sivyo utavunjika:guu kwa kutosikia la mkuu ushauri nishakupa naondoka huwa sipendi makuu
Makuu kama mguu, kusimama na mkuu, kupata cheo cha mwalimu mkuu, ukisimama uwe juu, pesa zakutosha kama bakhresa
 
Back
Top Bottom