atug
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 2,821
- 3,618
Ya kwanza ni nzuri kweli... Unamaliza mapema unaendelea na yakoJumapili tunaenda mapema misa ya kwanza
Ya kwanza ni nzuri kweli... Unamaliza mapema unaendelea na yakoJumapili tunaenda mapema misa ya kwanza
Yako wapi majivuno unayo tuonesha kila siku......???Ya kwanza ni nzuri kweli... Unamaliza mapema unaendelea na yako
Siku ipi uliyoonyeshwa majivunoYako wapi majivuno unayo tuonesha kila siku......???
Kazi ni kazi hata iwe kuzibua vyooMajivuno ni tabia ya mtu na kuiacha ni kazi
Vyoo vinapaswa kuwa safi ili kuepuka magonjwa ya mlipukoKazi ni kazi hata iwe kuzibua vyoo
Mlipuko mkubwa umesikika hapo Mbagala kwenye ghala za silaha.....Vyoo vinapaswa kuwa safi ili kuepuka magonjwa ya mlipuko
Fasta kama upepoBora zamiludi uko fasta
Upepo umechange na mambo yote bomba, hunikosi top 20 wala tatu bombaFasta kama upepo
Tatu bomba hukosekani akiwemo na ZZUpepo umechange na mambo yote bomba, hunikosi top 20 wala tatu bomba
ZZ amekasirika baada ya kupata namba ya mwisho ameshika mkiaTatu bomba hukosekani akiwemo na ZZ
Mkia wa kondoo ndiyo kichochezi !!!ZZ amekasirika baada ya kupata namba ya mwisho ameshika mkia
Kichochezi cha wewe kushika mkia ama?Mkia wa kondoo ndiyo kichochezi !!!
Ama zao ama zangu, chama chao chama changu nyimbo ya zamaniKichochezi cha wewe kushika mkia ama?
Zamani enzi za east cost teamAma zao ama zangu, chama chao chama changu nyimbo ya zamani
Team nzuri zilikuwa tiptop connection, east cost, chemba squard na wanaume familyZamani enzi za east cost team