Alcady12
JF-Expert Member
- Aug 5, 2016
- 449
- 552
Wazungu siku hizi wapo wengi hata wale wa caroliteKisasa tunaendsna na fashion na tamaduni za wazungu
Wazungu siku hizi wapo wengi hata wale wa caroliteKisasa tunaendsna na fashion na tamaduni za wazungu
Carolite zimepigwa marufuku nchini kwa matumizi ya binadamuWazungu siku hizi wapo wengi hata wale wa carolite
Carolite ni jina la kizungu asili, hivyo siye tuwafuate na tutumie majina yao bila malipo..Wazungu siku hizi wapo wengi hata wale wa carolite
Malipo ni hapa hapa duniani akhera ni mahesabuCarolite ni jina la kizungu asili, hivyo siye tuwafuate na tutumie majina yao bila malipo..
Mahesabu Mkuu aliyekaguwa matumizi idara mojawapo amebaini ubadhirifu.....Malipo ni hapa hapa duniani akhera ni mahesabu
Ubadhrifu wa fedha za uma na ufisadi mwingi umefichuliwa na ofisi ya CAG kabla ya kutumbua majipuMahesabu Mkuu aliyekaguwa matumizi idara mojawapo amebaini ubadhirifu.....
Majipu huwa yana ambukizana, hivyo yasipo tumbuliwa yote yatasambaa na kuathiri watakao ajiriwa wapya...Ubadhrifu wa fedha za uma na ufisadi mwingi umefichuliwa na ofisi ya CAG kabla ya kutumbua majipu
Wapya wapo wengi hasa wanaotoka vyuoniMajipu huwa yana ambukizana, hivyo yasipo tumbuliwa yote yatasambaa na kuathiri watakao ajiriwa wapya...
Vyuoni nipo kwenye rasilimali ya watumishi waliyofaulu kuendesha idara serikalini....Wapya wapo wengi hasa wanaotoka vyuoni
Serikalini pesa ipoVyuoni nipo kwenye rasilimali ya watumishi waliyofaulu kuendesha idara serikalini....
Juu ya mlima kilimanjaro baridi ipoVyuoni ni mahali pa mafunzo ya elimu ya juu
Ipo wapi chadema ya kina Dr slaa!?Juu ya mlima kilimanjaro baridi ipo
Dr. Slaa, Dr. Wengineo wote ni watanzania kwa maana miamala yao ya kuhudumia wTZ itukuzwe.....Ipo wapi chadema ya kina Dr slaa!?
Kisasa ni mtaa uliopo mkoa wa DodomaSayansi ni uchawi wa kisasa
Itukuzwe jina la Mungu baba na kuabudiwaDr. Slaa, Dr. Wengineo wote ni watanzania kwa maana miamala yao ya kuhudumia wTZ itukuzwe.....
Kuabudiwa kwa kwenda msikitini na kanisaniItukuzwe jina la Mungu baba na kuabudiwa
Kanisani siku ya Jumamosi au JumapiliKuabudiwa kwa kwenda msikitini na kanisani
Jumapili tunaenda mapema misa ya kwanzaKanisani siku ya Jumamosi au Jumapili