Kawaida yao hula wakiwa wamekaaKujidhalilisha hadharani siku hizi imekuwa ni kitu cha kawaida.
Wamekaa vibarazani kusema ya watuKawaida yao hula wakiwa wamekaa
Watu wana vihoja/viyoja na hulka ya kuteta wenzao nyuma ya migongo yao.., hiyo ni kama kula nyama ya maiti !!Wamekaa vibarazani kusema ya watu
Maiti ana haki zake mpaka atakapozikwa sehemu salama kaburiniWatu wana vihoja/viyoja na hulka ya kuteta wenzao nyuma ya migongo yao.., hiyo ni kama kula nyama ya maiti !!
Kaburini ni kituo cha mwisho kuweka makazi ya mwanadamu atakapo kufa..Maiti ana haki zake mpaka atakapozikwa sehemu salama kaburini
Kufa hakukwepekiKaburini ni kituo cha mwisho kuweka makazi ya mwanadamu atakapo kufa..
Hakukwepeki minajili ya mapigo ya moyo yanaposimama hapo uhai unaaga dunia....Kufa hakukwepeki
Tena mtaendelea kukutana sababu ni binadamu, mlima haukutani na mlimadunia kweli duara, Zamiluni Zamiluni tumekutana tena
mlima wa matatizo yangu unazidi kurefuka kila siku, sidhani kama tutakuwa tunakutana mara nyingiTena mtaendelea kukutana sababu ni binadamu, mlima haukutani na mlima
Mchezo huu waliocheza simba basi bingwa wa ligi ni yangaSasa ni wakati wa kujitangaza rasmi kuwa mimi ni mshindi wa mchezo huu.
Yanga wana point thalathini hivyo bado simba wapo mbeleMchezo huu waliocheza simba basi bingwa wa ligi ni yanga
Mbele ya yanga simba hafurukuti wala hana ujanjaYanga wana point thalathini hivyo bado simba wapo mbele
Ujanja hatuwezi kumjua mshindi mpaka fainaliMbele ya yanga simba hafurukuti wala hana ujanja