atug
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 2,821
- 3,618
Mahakamani ukiwa vizuri katika kujitetea unaweza usifungweMakosa ya barabarani yaweza kukugharimu faini au kufikishwa mahakamani....
Mahakamani ukiwa vizuri katika kujitetea unaweza usifungweMakosa ya barabarani yaweza kukugharimu faini au kufikishwa mahakamani....
Vifo ambavyo asilimia kubwa sio makusudi japo vipo vya uzembeUnaweza usifungwe ila ujue makosa ya barabarani husababisha vifo
Madaktari walipasua kichwa badala ya mguu, nani anajua maana ya neno 'gotoka'Uzembe ni ugonjwa mkubwa wa manesi na madaktari
Gotoka maana yake "ishafanyika" yaani "done" lakini hilo neno hatulitumii...Madaktari walipasua kichwa badala ya mguu, nani anajua maana ya neno 'gotoka'
Hatulitumii sababu wengi wetu hatulijuiGotoka maana yake "ishafanyika" yaani "done" lakini hilo neno hatulitumii...
Hatulijui chombo kinacho toa kelele kilicho fungwa sakafuni.... !!!Hatulitumii sababu wengi wetu hatulijui
Sakafuni hutandikwa zuliaHatulijui chombo kinacho toa kelele kilicho fungwa sakafuni.... !!!
Zulia zilizo bora na zenye kudumu hutengenezwa huko Iran na siyo hizi za plastiki !!!Sakafuni hutandikwa zulia
Plastiki ndo uwezo wetuZulia zilizo bora na zenye kudumu hutengenezwa huko Iran na siyo hizi za plastiki !!!
Wetu huo mkwanja una sababisha aleji na kubanwa pumzi......Plastiki ndo uwezo wetu
Pumzi zitabana na maisha haya yanavyobanaWetu huo mkwanja una sababisha aleji na kubanwa pumzi......
Bana hapo hapo mh rais kwa mafisadiPumzi zitabana na maisha haya yanavyobana
Mafisadi hawawezi kuishaBana hapo hapo mh rais kwa mafisadi
Anzia mshindoKimya kingi kina mshindo