ElPuto Jefe
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 5,286
- 19,463
Uzeeni kuna mambo mengi yanajitokeza.
Uzeeni kuna mambo mengi yanajitokeza.
Maneno hayavunji mfupaYanajitokeza NI mengi bila ya kumung'unya maneno
Ang'ong'ose kidogo kidogo mpaka nyama iishe hata kama hataitafuna bali aimeze na kusukumia na majiMfupa hawezi kula kibogoyo labda tu ang'ong'ose
Kileleni huko atajisahau hatimaye ataporomoka......Sifa zina yanga taratibu wanalejea kileleni
Ataporomoka aliyejuu kama hakuweka msingi mzuriKileleni huko atajisahau hatimaye ataporomoka......
Mzuri Ndugu SupaMaket hujambo, za asubuhi nimefurahi kuona umerudi.....Ataporomoka aliyejuu kama hakuweka msingi mzuri
Ataporomoka asipopata pa kushikiliaKileleni huko atajisahau hatimaye ataporomoka......
Kushikilia mpini kuna hadhi yake na malipo yenye tuzo kubwa....Ataporomoka asipopata pa kushikilia
Tuzo kubwa anatoa nani kwa huyo mshikilia mpini?Kushikilia mpini kuna hadhi yake na malipo yenye tuzo kubwa....
Mpini wa mwarabu ulichongwa kwa dhahabu nyeupe !!!Tuzo kubwa anatoa nani kwa huyo mshikilia mpini?
Dhahabu nyeupe ni ghaliMpini wa mwarabu ulichongwa kwa dhahabu nyeupe !!!
Ghali kwako inakuwa rahisi..., kila mmoja ana thamani yake ifikapo !!!Dhahabu nyeupe ni ghali
Makosa ya barabarani yaweza kukugharimu faini au kufikishwa mahakamani....Ifikapo kipindi cha kupiga kula watu husahau maisha duni na kurudia makosa