Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Shangwe hiyo inaishia bandarini Dar tu!! Tuwe na malengo ya kutanuka !!Chini ya kiwango kwao... Kwetu sisi full shangwe
Shangwe hiyo inaishia bandarini Dar tu!! Tuwe na malengo ya kutanuka !!Chini ya kiwango kwao... Kwetu sisi full shangwe
Harusini Mkuu SupaM lazima nikuletee zawadi na kusherehekea usikukucha.....Shangwe na vigelegele kama harusini
Kusherehekea usiku kucha nami nitaungana nanyi.. Mnitafutie hijabHarusini Mkuu SupaM lazima nikuletee zawadi na kusherehekea usikukucha.....
Hijab ipo utapata na dera moja kwenye shereheKusherehekea usiku kucha nami nitaungana nanyi.. Mnitafutie hijab
Hijabu ukishajishungi mwee, hakuna kuing'owa au kuivua!!Kusherehekea usiku kucha nami nitaungana nanyi.. Mnitafutie hijab
Sherehe itafaana tukimvisha Atug joho !!Hijab ipo utapata na dera moja kwenye sherehe
Joho tena la nini.. Kwan mhafali hayo ya chuo?Sherehe itafaana tukimvisha Atug joho !!
Chuo tuu ndiyo upeo wako, ndugu yangu joho huvaliwa katika munasaba mbalimbali !!!Joho tena la nini.. Kwan mhafali hayo ya chuo?
Munasaba mbalimbali haya sawaChuo tuu ndiyo upeo wako, ndugu yangu joho huvaliwa katika munasaba mbalimbali !!!
Sawa sawa tumemuelewa kiongozi wetu na kuufuata maelezo aliyotusihi.....Munasaba mbalimbali haya sawa
Sisi ni kama binadamu wengine popote pale, hivyo tunawajibika kutafuta maendeleo kwa kasi..Aliyotusihi watanzania ni kwamba tupendane sisi kwa sisi
Kuwajibika kwa asili mia ndiyo mfumo wenye sera za nchi za Magharbi walivyonufaika....Kasi ya mwendo wa maendeleo ni matumizi mazuri ya ardhi, uongozi bora na watu kuwajibika
Walivyonufaika kwa kuifata katibaKuwajibika kwa asili mia ndiyo mfumo wenye sera za nchi za Magharbi walivyonufaika....
Katiba ndiyo dira ya kuipeleka nchi kwenye uchumi bora na makazi bora na Ustawii imara !!Walivyonufaika kwa kuifata katiba
Ustawi imara unajengwa na jamii na viongozi boraKatiba ndiyo dira ya kuipeleka nchi kwenye uchumi bora na makazi bora na Ustawii imara !!
Bora kuwa slow na taratibu ndiyo mwendo hadi tukafika ngazi za juu.....Ustawi imara unajengwa na jamii na viongozi bora
Bora kunyamaza kama huna takwimu/ushahidi utakacho kusema kuliko kubwabwaja ukajidharirishaUstawi imara unajengwa na jamii na viongozi bora