kidaganda
JF-Expert Member
- Aug 26, 2013
- 2,997
- 2,577
viumbe hai ni wanyama na mimeaWatu, wanyama, wadudu na mimea vyote ni viumbe hai.
viumbe hai ni wanyama na mimeaWatu, wanyama, wadudu na mimea vyote ni viumbe hai.
Mwanga ni neno tataMimea ili istawi inahitaji maji,mvua na mwanga
Tata ni aina ya gari za zamani kama suzuki na toyotaMwanga ni neno tata
Maji, ardhi yenye rutuba na mwangaMimea ili istawi inahitaji maji,mvua na mwanga
Visivyoonekana kwa macho tunatumia vifaa maalum kama microscopeMwanga wa jua ni muhimu kwa viumbe vyote, vinavyoonekana na visivyoonekana.
Sekondari nilikuwa mbambe shule nzima.Microscope niliichora wakati nasoma sekondari.
Nzima kweli? "Mbambe" ndo nini? Andika kwa ustadiSekondari nilikuwa mbambe shule nzima.
CR7 ameamuwa kustaafu baada ya kombe la dunia mwaka 2018...Ustadi wa kusakata kabumbu upo miguuni mwa Messi na CR7
2018 ifike tuu nione Tanzania tutakuwa wapiCR7 ameamuwa kustaafu baada ya kombe la dunia mwaka 2018...
Wapi ulipo potea, bora umerudi uje tunywe chai hii asubuhi.....2018 ifike tuu nione Tanzania tutakuwa wapi
Hii asubuhi tunamshukuru Mungu tumeionaWapi ulipo potea, bora umerudi uje tunywe chai hii asubuhi.....
Tumeiona ile ndege mpya iliyonunuliwa hivi karibuni,kwa kweli inavutia.....Hii asubuhi tunamshukuru Mungu tumeiona
Inavutia kwa kutazama au huduma?Tumeiona ile ndege mpya iliyonunuliwa hivi karibuni,kwa kweli inavutia.....
Huduma zetu tunazikubali siye wTZ wenyewe, Lakini kimatifa ipo chini ya kiwango...Inavutia kwa kutazama au huduma?
Chini ya kiwango kwao... Kwetu sisi full shangweHuduma zetu tunazikubali siye wTZ wenyewe, Lakini kimatifa ipo chini ya kiwango...
Shangwe na vigelegele kama harusiniChini ya kiwango kwao... Kwetu sisi full shangwe