supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,968
Mujarabu dawa sahihi ukitumia miti shambaHiki ndio neno mujarabu
Mujarabu dawa sahihi ukitumia miti shambaHiki ndio neno mujarabu
Mitiki ni miti ya ajabu ajabuShamba lako umelima nn, Mi nimelima mitiki
Ajabu yana niniMitiki ni miti ya ajabu ajabu
Kitu gani ni nyimbo nzuri sana ya muimbaji Qjay ft D'nob yule huuaa wa elimu mtaaniChloromphetamine ndio kitu gani.
Ubishi mwingi unasababisha kukosa maarifaKabisa hilo halina ubishi.
Yani kila somo unapata mia kwa mia mtu wa kwanza darasaniNalipenda sana na nilikuwa nalifaulu Vizuri mnoo yani
Mahusiano mema ni kuishi vizuri na watuMkulu kawaalika kwa nia njema ya mahusiano mema