Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Wenzao waliwakilishwa na daAtug ktk kikao cha ustawii wa jamii...Mahakamani hayo yapo sana,hata mtaani watu hukana na kuruka wenzao
Wenzao waliwakilishwa na daAtug ktk kikao cha ustawii wa jamii...Mahakamani hayo yapo sana,hata mtaani watu hukana na kuruka wenzao
Ustawi wa jamii ni kitengo muhimu sana ktk jamiiWenzao waliwakilishwa na daAtug ktk kikao cha ustawii wa jamii...
Forum ya Uchumi hushirikisha wakuu na makada wa nchi mbalimbali kuhudhuria....Jamii Forum.
Ubinadamu huu ulifundishwa na kunguru njia na namna ya kuzika au kuzikana !!Kuhudhuria kwenye mazishi ni uungwana zaid na ndio ubinadamu
Kuzika na kuzikana tutaendelea kupendana kama Eva na AdamUbinadamu huu ulifundishwa na kunguru njia na namna ya kuzika au kuzikana !!
Adam ni mie na wewe SupaMaket na Eva ni ....... na ........ baada ya alasiri tukutane Fukwe ya bahari hindi !!Kuzika na kuzikana tutaendelea kupendana kama Eva na Adam
Bahari ya hindi angalieni msibebwe na tsunami hatuna rambi rambi za kutoaAdam ni mie na wewe SupaMaket na Eva ni ....... na ........ baada ya alasiri tukutane Fukwe ya bahari hindi !!
Kutoa ndugu yangu ni moyo na siyo maneno tu, Kwani nawe utasalimika... ?Bahari ya hindi angalieni msibebwe na tsunami hatuna rambi rambi za kutoa
Utasalimika ukienda na mwenzio AtugKutoa ndugu yangu ni moyo na siyo maneno tu, Kwani nawe utasalimika... ?
Atug tena?? Zz alishahamisha majeshi kwingineUtasalimika ukienda na mwenzio Atug
Kwingine wapi, ZZ yupo bize na kaziAtug tena?? Zz alishahamisha majeshi kwingine
Baharini kuna maji chumviKazi tunayo wanaume ktk kupambana na maharamia wa baharini......
Chumvi na sukari vyote vinafanana lakini ladha hutofautiana na faida hazilingani......Baharini kuna maji chumvi
Hazilingani ladha piaChumvi na sukari vyote vinafanana lakini ladha hutofautiana na faida hazilingani......
Hiki ndio neno mujarabuHichi au hiki?