Southern Giant
JF-Expert Member
- Sep 1, 2018
- 919
- 1,878
nani alikua mchezaji wa manchesterNdo wewe na kiherehere chako kakutuma nani?
nani alikua mchezaji wa manchesterNdo wewe na kiherehere chako kakutuma nani?
nani wa kunituma? nipo hapa kukufunza adabu uloshindwa kuipata huko mtaaniNdo wewe na kiherehere chako kakutuma nani?
Hata najua basinani alikua mchezaji wa manchester
Unavyopenda maneno kama chiriku sitakuweza.nani wa kunituma? nipo hapa kukufunza adabu uloshindwa kuipata huko mtaani
Mipasho gani we nyau?Ushindi wangu haubatiliki kwa yako mipasho.
Ngoja nisepe zangu naona nimekanyaga waya wa transfoma.Mipasho gani we nyau?
Manchester united au city?nani alikua mchezaji wa manchester
Transfoma halilipuki bhana😀😀,tulia hapaNgoja nisepe zangu naona nimekanyaga waya wa transfoma.
transfoma iliyopata shoti kua makini litakukuta jambo🤣Ngoja nisepe zangu naona nimekanyaga waya wa transfoma.
Jambo si jambo mshamba_hachekwi nimekumiss mywangu😀transfoma iliyopata shoti kua makini litakukuta jambo🤣
Transfoma halilipuki bhana😀😀,tulia hapa
Niko hapa kutetea chama la madume. Haiwezekani mshindi awe mrembo. Liwalo la liwe.transfoma iliyopata shoti kua makini litakukuta jambo🤣
Liwe kivipi?huwezi shinda maana kanuni za mchezo huzijui wewe😀😀Niko hapa kutetea chama la madume. Haiwezekani mshindi awe mrembo. Liwalo la liwe.
liwalo na liwe ila hauwezi kushindana na mtu anaevuja dam kila mwezi na hafi wala kuumwa🤣🤣🤣Niko hapa kutetea chama la madume. Haiwezekani mshindi awe mrembo. Liwalo la liwe.
Muongo mbona ramadhani haukunifuturisha?Jambo si jambo mshamba_hachekwi nimekumiss mywangu😀
Mimi naweza kuua watu zaidi ya milioni 100 chini ya dakika mbili kwa mkono wangu mmoja tu.liwalo na liwe ila hauwezi kushindana na mtu anaevuja dam kila mwezi na hafi wala kuumwa🤣🤣🤣
hivi mshamba unafuatisha maneno ya mwisho au unanichamba serious🤣🤣🤣🤣Mimi naweza kuua watu zaidi ya milioni 100 chini ya dakika mbili kwa mkono wangu mmoja tu.
Sikusoma sheria za mchezo. Ama kweli ushamba ni mzigo.hivi mshamba unafuatisha maneno ya mwisho au unanichamba serious🤣🤣🤣🤣
bora hata umejisemea mwenyewe khaaa ulikua unanipa mtihkaniSikusoma sheria za mchezo. Ama kweli ushamba ni mzigo.