chonyomtoonyi
Member
- Oct 30, 2016
- 82
- 74
Jumbe za humu JF zinaniacha hoi
Usumba upo sokoni pia na bei yake si hvo ghali....Dukani kwa Mangi kuna kamba ya usumba
Nayo ilivyo pinda upande wa kushoto huzunguka kuliko feni....!!Ghali sana mpaka watu wanashindwa kuna nayo.
Karibu kwetu uchukuwe nafasi yako kwa marefu na mapana....Feni langu propeller limekatika, hivi kuna fundi karibu
Mtoto apewe haki zake bila kuminywa-minywa au kudhulumiwa !!!Mapana sana mambo yake yule mtoto.
Kudhulumiwa kwa jamii ya kiafrika ipo sana...Mtoto apewe haki zake bila kuminywa-minywa au kudhulumiwa !!!
"kwanza nikusalimu sana"Kudhulumiwa kwa jamii ya kiafrika ipo sana...
Vurugu haziwezi kuisha maana kila mtu ana mtazamo tofauti na mwenzie"kwanza nikusalimu sana"
Sana huku ktk ulimwengu wa tatu, haki hazitendeki zaidi ya vurugu......
Mwenzie alimruka na kumkana mbele ya hakimu pale mahakamani.....Vurugu haziwezi kuisha maana kila mtu ana mtazamo tofauti na mwenzie
Mahakamani hayo yapo sana,hata mtaani watu hukana na kuruka wenzaoMwenzie alimruka na kumkana mbele ya hakimu pale mahakamani.....