chonyomtoonyi
Member
- Oct 30, 2016
- 82
- 74
Upokeaji si tatizo tatizo ni utoaji..je atazitoa hizo hela??
Hela!!!? Imekuwa kama jiwe ngumu mnoooUpokeaji si tatizo tatizo ni utoaji..je atazitoa hizo hela??
Hela hizo ni chembe ndogo sana katika kitita alicho kusanya Mhe.Rais kwenye muhula wa miezi sita !!Upokeaji si tatizo tatizo ni utoaji..je atazitoa hizo hela??
Sita samwel yule former chairman wa bunge la tzHela hizo ni chembe ndogo sana katika kitita alicho kusanya Mhe.Rais kwenye muhula wa miezi sita !!
TZ, siku hizi imepaa juu katika Media za Afrika na kimataifa....Sita samwel yule former chairman wa bunge la tz
Tu tukutuku yangu yaishinda bodaboda katika kupiga malapa !!!Serikali ya awamu ya tano kauli mbiu yao ni hapa kazi tu
Mwaka 2002 michezo ya Olympics waTZ tulishindwa hata kupeperusha bendera.....Malapa ya bata yalivuma enzi za miaka ya 2002
Mwaka 2002 michezo ya Olympics waTZ tulishindwa hata kupeperusha bendera.....
Brazil haikuhodhi winter olympics mwaka 2002, Ni Salt lake city huko Marekani......... ulimaanisha kupeperusha bendera ya TZ kule brazil ?
Marekani imebaki nchi tajiri duniani.
Duniani hapa kuna mataifa mengi na lugha nyingi lakini sote tunaelewana kwa tabasamu !!!Marekani imebaki nchi tajiri duniani.