Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Taharuki hasa kwa kuwa hakuna mfumo mzuri wa mifereji ya kuyaondoa njiani.
Njia hizo hizo na mabomba hayohayo pamoja na mifereji tangu enzi za Mkoloni...tulijengewa tukiwa idadi ya wakazi laki na themanini..hadi leo tupo millioni tano !!
 
  • Thanks
Reactions: Auz
Tupo milioni tano mara tisa, nikimaanisha milioni arobaini na tano hivi kwa Tz nzima, kinachokosekana ni kutokuwa na akili ya kutawala mazingira yetu ili yawe na manufaa kwetu, jambo hilo hilo linahusu barabara na utitiri wa magari.
 
Magari hatujali acha yawepo na mengine yaje hakuna shida, tatizo ni Planning yaani ukuwaji uendane na upanuzi wa huduma za msingi......
 
Huduma za msingi kama afya, elimu na makazi ndio yanauoathiriwa na ongezeko la watu hivyo serikali yapaswa kuwa macho kuyaboresha kulingana na idadi ya watu.
Watu huwa hawaridhiki na hawatosheki, Ndiyo maana serikali hupuuza na kutojali lolote hata kupanua msongamano wa mazingira kwa jamii !!!
 
  • Thanks
Reactions: Auz
Watu huwa hawaridhiki na hawatosheki, Ndiyo maana serikali hupuuza na kutojali lolote hata kupanua msongamano wa mazingira kwa jamii !!!
Jamii ya watu kutoridhika na kutotosheka si kigezo kwa serikali kupuuzia wajibu wake, ikiwezekana iwatoze ada kidogo kwa hizo huduma, bali ni lazima huduma ziwepo
 
Back
Top Bottom