Boogman
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 2,525
- 5,751
Smart phone ndio zimetufikisha hapa ama kweli dunia imekua kijiji!Nduki alitolewa huko Dubai aipojifanya Dr. Feki, siunajua waBongo popote walipo huwa smart !!
Smart phone ndio zimetufikisha hapa ama kweli dunia imekua kijiji!Nduki alitolewa huko Dubai aipojifanya Dr. Feki, siunajua waBongo popote walipo huwa smart !!
Kijiji kimoja kijulikana kama "mtandao"Smart phone ndio zimetufikisha hapa ama kweli dunia imekua kijiji!
Maendeleo hayaji bila kujituma na kuhangaika ili vizazi vijayo viweze kufaidi....Mtandao umesaidia sana kwenye kukuza maendeleo.
Kufaidi mazuri lazima uwe na pesaMaendeleo hayaji bila kujituma na kuhangaika ili vizazi vijayo viweze kufaidi....
Pesa siyo shida kwani kila mtu anazo pesa tatizo namna ya kutumia pesa hizo,njia ya utumiaji !!Kufaidi mazuri lazima uwe na pesa
Masikini ni yule mwenye kuwa na rasilimali ya kutosha bila kuwa na elimu ya kukaimu mali zakeUtumiaji mbaya wa Mali asili tulizonazo ndo unaotupelekea kuzidi kuwa masikini
Zake anazomiliki yeye mwenyewe zinamtosha na kumfaaMasikini ni yule mwenye kuwa na rasilimali ya kutosha bila kuwa na elimu ya kukaimu mali zake
Kumfaa aliye weka akiba, kwako hali kama hii sote tutaenda alijojo !!!Zake anazomiliki yeye mwenyewe zinamtosha na kumfaa
Alijojo?? SijaelewaKumfaa aliye weka akiba, kwako hali kama hii sote tutaenda alijojo !!!
Nini imewakumba waTZ hamujui neno Alijojo..? khaaah !! acha nimtaufte ndg. mmoja wa pwani aje kutoa darasa !!!Alijojo maana yake nini ??
Nini imewakumba waTZ hamujui neno Alijojo..? khaaah !! acha nimtaufte ndg. mmoja wa pwani aje kutoa darasa !!!
Sijaelewa kivipi neno "arijojo" maana yako ni kutofahamika/kutueleweka !! umenielewa ndg jonnie_vincy hapo !!?Alijojo?? Sijaelewa
Hapo nimekupataSijaelewa kivipi neno "arijojo" maana yako ni kutofahamika/kutueleweka !! umenielewa ndg jonnie_vincy hapo !!?
Nimekupata mchan huu, kabla hujaniponyoka.....Hapo nimekupata
Alijojo alishakuwaga alishakuwa mkata Majan wetuHAPO sasa tumeelewa alijojo
Arijojo ni mfano wa kuwa na balloon au kishada kikishikwa na uzi mrefu... uzi huo ukikatika hupoteza mwelekeo wa ballon/kishada hicho !!HAPO sasa tumeelewa alijojo