atug
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 2,821
- 3,618
Wezi wamemuibia ZZ na yeye pia wakambeba? Maana leo hajatokeaWenyewe tupo bize na kuogelea kumbe nguo zinaibiwa na wezi
Wezi wamemuibia ZZ na yeye pia wakambeba? Maana leo hajatokeaWenyewe tupo bize na kuogelea kumbe nguo zinaibiwa na wezi
Leo hatatokea best ako wamemuiba naona umemmiss ZZWezi wamemuibia ZZ na yeye pia wakambeba? Maana leo hatatokea

ZZ itabidi tumuundie timu atafutwe,kwanini hajatuaga?Leo hatatokea best ako wamemuiba naona umemmiss ZZ![]()
Hajatuaga labda kaenda kwa mchepukoZZ itabidi tumuundie timu atafutwe,kwanini hajatuaga?
Mchepuko huo utakuwa wa tope umemgandaHajatuaga labda kaenda kwa mchepuko
ganda la ndizi nyimbo nzuri sana aliimba nuhu mziwanda na shiloleMchepuko huo utakuwa wa tope umemganda
Ndizi nyama tamu sana asikwambie mtuUkakasi wa ndizi
Ndizi nyama tamu sana asikwambie mtu
Zunguka na kurukaruka kama wanavyocheza watoto na kufurahiMtu utu wake hutokana na matendo yake katika jamii inayomzunguka
Furahini katika bwana.Zunguka na kurukaruka kama wanavyocheza watoto na kufurahi
Bwana asifiwe sanaFurahini katika bwana.
Sana sana kwa mwenye iman naeBwana asifiwe sana
Naenda uwanjani kufanya mazoeziSana sana kwa mwenye iman nae
Afya bora usiwe na stressMazoezi ni muhimu kwa afya