Tasbeeh313
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 1,919
- 2,056
dhahabu au almasi, in IPI hutumika kukatia vioo?
Vioo vinakatwa na almasi mkuu kama inavyokatwa karatasi na kiwembedhahabu au almasi, in IPI hutumika kukatia vioo?
Matumizi ya perfume feki husababisha kansa ya ngozi...Kiwembe kipya ni salama kwa matumizi.
Ngozi itunzwe vizuri ili kukufanya uwe nadhifu kila sikuMatumizi ya perfume feki husababisha kansa ya ngozi...
Siku ya mauti ikifika hapatakuwepo msalie hata iweje !!!!Ngozi itunzwe vizuri ili kukufanya uwe nadhifu kila siku
Iweje kutuletea hizi habari za mauti.. Wengine waogaSiku ya mauti ikifika hapatakuwepo msalie hata iweje !!!!
Wanaume wa Dar sidhani kama wote ni waoga kuna wanaojiamini kama ZZ na SupermarketWaoga ni wale wanaume wa Dar.
Supa na ZZ siyo woga tunapambana na panyarodi uso kwa uso !!!Wanaume wa Dar sidhani kama wote ni waoga kuna wanaojiamini kama ZZ na Supermarket
Uso kwa uso ni vizuri kuonana kwa mtu ambaye hamjaona hata siku mojaSupa na ZZ siyo woga tunapambana na panyarodi uso kwa uso !!!
Siku moja tutakutana na Supa na mwana JF bila hiyana ntawaalika karamu ndefu......Uso kwa uso ni vizuri kuonana kwa mtu ambaye hamjaona hata siku moja
Sijui huyo bingwa wetu SupaMaket atakuja humu muda gani ili tupange mikakati....Wapi? Hata mimi sijui.
Hiyo anayoongelea ZZMikakati ya maendeleo au ipi hiyo?
ZZ akiahidi hutimiza ahadi hivo Atug fata nyuki ukarambe asali taamu.....Hiyo anayoongelea ZZ
Asali tamu lazima niifuateZZ akiahidi hutimiza ahadi hivo Atug fata nyuki ukarambe asali taamu.....