atug
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 2,821
- 3,618
Hiyo asaliTaamu ipi tena hiyo
Hiyo asaliTaamu ipi tena hiyo
niifuate hadi mzingani nasi njoo na chombo cha kuchotea maana asali nzito eeenh!!!Asali tamu lazima niifuate
Asali nzito ni dawa ya vidonda na tumboniifuate hadi mzingani nasi njoo na chombo cha kuchotea maana asali nzito eeenh!!!
Tumbo mie huniuma nikila asaliAsali nzito ni dawa ya vidonda na tumbo
Nikila asali na mkate sihitaji chaiTumbo mie huniuma nikila asali
Asali ni tiba ya magonjwa kadha....Tumbo mie huniuma nikila asali
Chai ya jioni napenda sanaNikila asali na mkate sihitaji chai
Napenda sana maandazi na mchuziChai ya jioni napenda sana
Mchuzi wa nyama,samaki au kukuNapenda sana maandazi na mchuzi
Kuku wa kienyeji wa kukaangaMchuzi wa nyama,samaki au kuku
Kukaanga usipendelee sana,mafuta sio mazuri yakiwa mengi mwiliniKuku wa kienyeji wa kukaanga
Mwilini kuna vitu vinatuathiri sana hasa mafuta na chumvi nyingi inatuletea madhara kwa afyaKukaanga usipendelee sana,mafuta sio mazuri yakiwa mengi mwilini
Mazoezi ya kitandani yanatosha.afya bora so kula vyakula tu, but balance diet na kufanya mazoezi.
Yanatosha vipi kwani wewe upo kwenye ndoaMazoezi ya kitandani yanatosha.
Ndoa ndoanoYanatosha vipi kwani wewe upo kwenye ndoa
Ndoa ndoano ni movie ya kiswahili ya zamani sana kabla ya ze commedy aliigiza mpoki na jotiNdoa ndoano
Joti siku hizi comedy zake ni kuigiza mwanamkeNdoa ndoano ni movie ya kiswahili ya zamani sana kabla ya ze commedy aliigiza mpoki na joti
Mwanamke kwani hakuna mpaka scene ya mwanamke aigize yeyeJoti siku hizi comedy zake ni kuigiza mwanamke
Yeye akiigiza hivyo anaona ndo atahitMwanamke kwani hakuna mpaka scene ya mwanamke aigize yeye