Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Maalum ya ilani yaliyo wekewa taratibu kufuatwa yasibadilishwe !!Sitajiunga kwa sababu zangu maalum
Maalum ya ilani yaliyo wekewa taratibu kufuatwa yasibadilishwe !!Sitajiunga kwa sababu zangu maalum
Yasibadilishwe tena,kama hayafai hakuna budi kubadilishwaMaalum ya ilani yaliyo wekewa taratibu kufuatwa yasibadilishwe !!
Kubadilishwa rangi za bendera za UKAWA zitaigharimu chama hadi kufilisika...Yasibadilishwe tena,kama hayafai hakuna budi kubadilishwa
Maamuzi yako na ya ndg atug ni kubaki ktk kundi la Scorpion hadi kieleweke.....!!Yasibadilishwe maamuzi yangu
Hadi kieleweke mziki utachezwa mpaka asubuhiMaamuzi yako na ya ndg atug ni kubaki ktk kundi la Scorpion hadi kieleweke.....!!
Asubuhi kukicha tutashikana mashati....,Hadi kieleweke mziki utachezwa mpaka asubuhi
Mashati yanauzwa bei nafuu kariakooAsubuhi kukicha tutashikana mashati....,
Vibaka wengi wanaiba usikuKariakoo kuna vibaka wengi
Why ukabwe na uzi wa ukhuty kwani huna haki ya kutupa talaka, tutapelekana mbele !!Usiku ukipita huku kwetu matejo
unakabwa hadi mavi
Mbele ya nyumba kuna bustaniWhy ukabwe na uzi wa ukhuty kwani huna haki ya kutupa talaka, tutapelekana mbele !!
Huu uzi kama daladala bestfriend, watu wataendelea kuwepo mpaka wajukuu, tutakumiss usiende mbaliUsiku ukifika inshaallah kuanzia Leo nisiwaone hawa watu kwenye huu Uzi supermarket ,zamiluni zamiluni ,na atug basi post zenu zimetosha na mim mwenyew sihitajiki katk huu Uzi
Mapokezi utakuwepo wewe mimi nitakusanya pesa ya mapato
Madini Tanzania yapo mengi kama almasi, tanzanite na dhahabuMapato mengi hapa kwetu TZ Hutokana na sekta ya madini