atug
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 2,821
- 3,618
Mikumi ukienda usiniache kunibebaMkuu Supa, twende tukapige kambi mbuga za mikumi.....
Mikumi ukienda usiniache kunibebaMkuu Supa, twende tukapige kambi mbuga za mikumi.....
Beba na vyakula na vinywajiMikumi ukienda usiniache kunibeba
Zamani za kale walienjoy sana wazee wetu bibi na babuVinywaji siku hizi vimekuwa vingi mnoo tofauti na zamani
Vinywaji mie si muumini wa drinks, hapo ntawaachie nyie maalwatan, ila huyu mrembo ntambeba kwa taadhima....Beba na vyakula na vinywaji
Taadhima na heshima ni kwako mkuuVinywaji mie si muumini wa drinks, hapo ntawaachie nyie maalwatan, ila huyu mrembo ntambeba kwa taadhima....
Mkuu ni neno linapendwa kweli JFTaadhima na heshima ni kwako mkuu
Jf ni mtandao wa kijamii kama facebook na whatsappMkuu ni neno linapendwa kweli JF
WhatsApp ni rahisi zaidi ktk kuwasiliana kwa harakaJf ni mtandao wa kijamii kama facebook na whatsapp
Haraka njoo uchukue zawadi yapo upesi kabla ya SupaMaket hajainyakuwa....!!😀WhatsApp ni rahisi zaidi ktk kuwasiliana kwa haraka
Supamarket hajainyakuwa maana nimemuwahi... Chezea mimiHaraka njoo uchukue zawadi yapo upesi kabla ya SupaMaket hajainyakuwa....!!😀
Hajainyakuwa nimeshaiiba fastaHaraka njoo uchukue zawadi yapo upesi kabla ya SupaMaket hajainyakuwa....!!😀
Mimi mbona ninayo mkononi hii hapaSupamarket hajainyakuwa maana nimemuwahi... Chezea mimi
Fasta kweli unaaminika mkuu, utatakiwa ushiriki olympicsHajainyakuwa nimeshaiiba fasta
Olympics mimi nafaa kwenye mashindano ya baiskeli na kuogeleaFasta kweli unaaminika mkuu, utatakiwa ushiriki olympics
Kuogelea nami sintokuacha mbali ushakaji mmoja... Sasa tuunde club yetu kama Scorpion !!Olympics mimi nafaa kwenye mashindano ya baiskeli na kuogelea
Kama Scorpion mimi hiyo sitajiungaKuogelea nami sintokuacha mbali ushakaji mmoja... Sasa tuunde club yetu kama Scorpion !!
Sitajiunga wapi.. hapa hakuna kujitoa, kuingia ni rahisi ila kutoka ni kwa amri ya Scorpion Mwenyewe !!!Kama Scorpion mimi hiyo sitajiunga
Maalumu kama zipi tupe mfanoSitajiunga kwa sababu zangu maalum