Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Akuambie mmmh nini masikini mie, Nilitamani kumsaidia kumbe alinitapeli......Tamaa inaponza ndugu yangu,muulize ZZ akuambie
Akuambie mmmh nini masikini mie, Nilitamani kumsaidia kumbe alinitapeli......Tamaa inaponza ndugu yangu,muulize ZZ akuambie
akuambie wewe kwanza maana mimi bado hajaniambia badoTamaa inaponza ndugu yangu,muulize ZZ akuambie
Hajaniambia bado na mimiakuambie wewe kwanza maana mimi bado hajaniambia bado
Mimi siwawezi nyie ndugu zangu mna njama za kunitumbukiza kisimani.....Hajaniambia bado na mimi
Kisimani kuna maji mazuri ya baridiMimi siwawezi nyie ndugu zangu mna njama za kunitumbukiza kisimani.....
Baridi ipo mbeya na ArushaKisimani kuna maji mazuri ya baridi
Mbeya na Arusha nimeshaishiBaridi ipo mbeya na Arusha
Ishi sehemu nyingi na kutembea tembea upate kujifunza mengiMbeya na Arusha nimeshaishi
Ishi sehemu nyingi na kutembea tembea upate kujifunza mengi
Wenyeji wapo tayari kukupeleka sehemu tofauti inabidi na wewe uwe mchangamfuKujifunza mengi itatokana na kujishanganya kwako na wenyeji
Mchangamfu ni moja ya sifa yanguWenyeji wapo tayari kukupeleka sehemu tofauti inabidi na wewe uwe mchangamfu
Sifa yangu mimi pia, hebu tutajie sifa nyingineMchangamfu ni moja ya sifa yangu
Nyingine ntakutajia siku zijazoSifa yangu mimi pia, hebu tutajie sifa nyingine
Nyingine mara hii naona tumeingiliwa na LICHADI tafadhali usituharibie uzi mkuu changia kwa staha na maadili...Sifa yangu mimi pia, hebu tutajie sifa nyingine
Karibu sana mkuu: usitukane tafadhaliYangu makalio yako mapumb#
Siku zijazo Mungu akitupa uzimaNyingine ntakutajia siku zijazo
Mkuu Supa, twende tukapige kambi mbuga za mikumi.....Karibu sana mkuu: usitukane tafadhali
Tumia sentensi nzuri
Your welcome mkuu
Uzima upo kwake muumbaSiku zijazo Mungu akitupa uzima