gbefa
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 3,807
- 15,846
Masikini athaminiwi3rd world countries wizi mwingi, mambo ya msingi hayapewi umuhimu, kujiendekeza tu kuwa tu maskini
Masikini athaminiwi3rd world countries wizi mwingi, mambo ya msingi hayapewi umuhimu, kujiendekeza tu kuwa tu maskini
Mwenyewe anajithamini kwa kula vyakula vizuriHathaminiwi kwa kutojithamini yeye mwenyewe.
Vizuri kuvipata uwe na kipato kizuriMwenyewe anajithamini kwa kula vyakula vizuri
Kipato kizuri utumie na familia yako lakini pia usiwasahau kuwakumbuka wazaziVizuri kuvipata uwe na kipato kizuri
Wazazi ni wa kuheshimiwaKipato kizuri utumie na familia yako lakini pia usiwasahau kuwakumbuka wazazi
Kuheshimiwa kunahitaji ya kujiheshimu wewe mwenyewe kwanza ndipo utatunukiwa heshima.!Wazazi ni wa kuheshimiwa
Heshima kwa mavazi na kauli nzuriKuheshimiwa kunahitaji ya kujiheshimu wewe mwenyewe kwanza ndipo utatunukiwa heshima.!
Kauli nzuri ni kigezo kikubwa katika kuteuliwa au kuchaguliwa kuwaongoza halaiki ya umma !!Heshima kwa mavazi na kauli nzuri
Umma umeangamia madhambi yanafanyika kila kona ya hii duniaKauli nzuri ni kigezo kikubwa katika kuteuliwa au kuchaguliwa kuwaongoza halaiki ya umma !!
Dunia taamu, dunia hadaa ulimwengu shujaa nasi tumepigwa butwaa !!!!Umma umeangamia madhambi yanafanyika kila kona ya hii dunia
Tumepigwa na butwaa kustaajabu mapambo yake yanavyo vutiaDunia taamu, dunia hadaa ulimwengu shujaa nasi tumepigwa butwaa !!!!
Yanavyo vutia machoni ni vingiTumepigwa na butwaa kustaajabu mapambo yake yanavyo vutia
Vingi tunavitamani lakini hatuna pesaYanavyo vutia machoni ni vingi
Hatuna pesa ndo tufanye kazi kuzitafutaVingi tunavitamani lakini hatuna pesa
Kuzitafuta tunazitafuta na juhudi tunafanya lakini kipato hakikidhi mahitajiHatuna pesa ndo tufanye kazi kuzitafuta
Mahitaji ya kuangalia yawe yale ya muhimuKuzitafuta tunazitafuta na juhudi tunafanya lakini kipato hakikidhi mahitaji
Vingi vizuri huletwa na wewe na sio serikali ya CCMYanavyo vutia machoni ni vingi
Muhimu kuridhika na maisha na kidogo hikohiko tunachopata tusiendekeze tamaaMahitaji ya kuangalia yawe yale ya muhimu
Tamaa inaponza ndugu yangu,muulize ZZ akuambieMuhimu kuridhika na maisha na kidogo hikohiko tunachopata tusiendekeze tamaa