Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Nataka kuanzisha miwanda kdg chakutengeneza chakula cha kuku bleed za kuku chotala,kari,kienyeji pure, Malawi, NK …… ninamtaji wa million 6
pls mwenye ideal na biashara hii naomba anipe
Wazo zuri mkuu:
Ila hapa watu wachache wataliona, anzisha uzi upost kwenye jukwaa la biashara (wafanyabiashara wengi na wafugaji watapita huko kukupatia msaada na ushauri wa kutosha)

Karibu sana mkuu
 
Waarabu ama wazungu, hata sisi tuna taratibu zetu zinazotuongoza katika maadili mema ya mila na desturi.
 
Wengine ni mawazo yao machafu tu, avaacho mtu hakisababishi majanga
 
3rd world countries wizi mwingi, mambo ya msingi hayapewi umuhimu, kujiendekeza tu kuwa tu maskini
 
Back
Top Bottom