Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Ndoa imepoteza heshima yake, watu wanajamiiana kiholela na watoto wanazaliwa pasipo na misingi ya familia
 
Ndoa ni stara kubwa sana mwanamke ukiwa nayo lkn imekuwa tofauti wanawake watu hawazifatilii sheria za ndoa kabs ndoa inafungwa Leo baada ya mwez hakuna ndoa
 
Nataka kuanzisha miwanda kdg chakutengeneza chakula cha kuku bleed za kuku chotala,kari,kienyeji pure, Malawi, NK …… ninamtaji wa million 6
pls mwenye ideal na biashara hii naomba anipe
Anipe sahihisho hili siyo jukwa la ubunifu wa biashara .. tafdhali Jumaa hamisha ombi lako ktk jukwaa husika...
 
Back
Top Bottom