supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,968
Maliasili ya nchi yetu kwenye misitu, pori na mbuga tutaipoteza tukiingiza mifugoMisitu ilindwe kwa hali na mali Pia raia nao walazimike kulinda maliasili.....
Maliasili ya nchi yetu kwenye misitu, pori na mbuga tutaipoteza tukiingiza mifugoMisitu ilindwe kwa hali na mali Pia raia nao walazimike kulinda maliasili.....
Mifugo nayo ni utajiri wenye wasaa waktosha, hapo mipangiliyo ya thabiti yanahitajika kuzingatiwa ili kudumisha vitu viwili hivi visigongane !!Maliasili ya nchi yetu kwenye misitu, pori na mbuga tutaipoteza tukiingiza mifugo
Wakulima wa nchi kama Umarekani wengi hujenga uzio ili kulinda mashmba na ranchi zao bila bughudha !Kupotea kwa amani vijijini kunasababishwa na wafugaji kuachia mifugo yao kula mazao ya wakulima
Wakulima na wafugaji wanakuwa na migogoro kila sikuKupotea kwa amani vijijini kunasababishwa na wafugaji kuachia mifugo yao kula mazao ya wakulima
Kujuana kupo kwa wingi ktk nchi za 3rd world, kwa hiyo isituvunje moyo wa kutafuta......Kupatikana kwa kazi kuna kujuana
Vikwazo vingi huletwa na wanasiasa na zaidi urasimu weneye mlolongo mrefu.....Kutafuta kuendane na elimu au uzoefu unaotakiwa ili kupunguza vikwazo
Pakuanzia ni pale panapo kuwa kuna masilahi ya watu binafsi.....Vikwazo ni vingi mnoo jaman mpka unashindwa pakuanzia
Rushwa ni kama ugonjwa wa kansa hutapakaa kote hadi kuliangamiza Taifa bila kujali hali....Mlolongo mrefu na urasimu ndio hutengeneza mazingira ya rushwa