Hapa kazi tu kasema rais MagufuliKushindwa hashindwi mtu hapa
Hapa utasalia kutamani ushindi lakini ng'o !! hupewi hata medani....Kushindwa hashindwi mtu hapa
Inshallah mm ndo mshindi leoMedani zenyew ni za dhahabu au shaba nitashinda inshaallah
Inshallah kila kitu kwa Mungu kinawezekana. Japo wazungu wametudanganya tulikuwa nyaniMedani zenyew ni za dhahabu au shaba nitashinda inshaallah
Leo atatangazwa Zamiluni ndo bingwaInshallah mm ndo mshindi leo
Bingwa ni mm usijidanganyeLeo atatangazwa Zamiluni ndo bingwa
Usijidanganye kula chips mayai ni sawa na kula UgaliBingwa ni mm usijidanganye
ugali gani unao uzungumzia? Wa mtama?Usijidanganye kula chips mayai ni sawa na kula Ugali
Mtama, dona na sembeugali gani unao uzungumzia? Wa mtama?
Sembe hainogi. Cha msingi subiria ushindi wangu ndo nikupe ubwabwaMtama, dona na sembe
Ubwabwa mimi sili mkuuSembe hainogi. Cha msingi subiria ushindi wangu ndo nikupe ubwabwa
Zaidi yake hakuna japo wazungu wanasayansi na atheist hawaamini uwepo wakePekee katika ulimwengu huu wala hatotokea mbadala zaidi yake
Ndoano na mshipi inatumika kuvua samakiNdoa zimejuwa ndoano