Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Anakijua yule aliyesomea biology, mie sikifahamu kidole tumbo ni bora utufafanulie....Mwilini kuna jitu kinaitwa kidole tumbo nani anakijua
Anakijua yule aliyesomea biology, mie sikifahamu kidole tumbo ni bora utufafanulie....Mwilini kuna jitu kinaitwa kidole tumbo nani anakijua
Sisi siyo watoro kama wewe ukhuty ... ulivyona darsa limekushinda ukasepa kimya kimya..Utufafanulie tuelewe hicho kidole tumbo na sisi
google kimbilio la wengi hasa wakipewa assignmentSisi ni waafrika tunapenda kila kitu kupewa pewa, nendeni mkakitafute na kukisoma kwenye google
Google sinto enda na Wallah ntakisaka na kukiulizia kwa bimbkuwa hadi nikumwagia jibu punde hii.... labda siyo mimi ZZ !!!!Sisi ni waafrika tunapenda kila kitu kupewa pewa, nendeni mkakitafute na kukisoma kwenye google
Z ni herifi ya mwisho katika AlphabetsGoogle sinto enda na Wallah ntakisaka na kukiulizia kwa bimbkuwa hadi nikumwagia jibu punde hii.... labda siyo mimi ZZ !!!!
Assignment tunashiriki wawili watatu kukimaliza haraka...google kimbilio la wengi hasa wakipewa assignment
Alphabets ikianza na A basi ujue kidole cha tumbo kinakuwaga upange wa kulia pembeni mwa kitovu na kiuno chaitwa "appendix" kwa kiengereaza au vipi ndg. alibakari ? ni hiyo hapo Tambua Ugonjwa Wa Kidole Tumbo(appendicitis)Z ni herifi ya mwisho katika Alphabets
haraka haraka haina baraka hatutofika kwenye viwandaAssignment tunashiriki wawili watatu kukimaliza haraka...
huu uzi una mmafunzo kem kem.., hadi ukitaka uajiriwa ktk Viwanda HIPHOP vya mbishi.d utafanikiwa ..ati Bingwa wetu..?Haraka haraka haina Baraka sikunyuti bwana mishe mishe tu za maisha ndo maan nikawa adimu kwenye huu Uzi
Bingwa wetu atapatikana na wajukuuhuu uzi una mmafunzo kem kem.., hadi ukitaka uajiriwa ktk Viwanda HIPHOP vya mbishi.d utafanikiwa ..ati Bingwa wetu..?
Msshindi ni mhe. Supamaket ila yuppo tayari kustaafu na ktuachia uzi uendelee...Wajukuu hata wakija huu Uzi hauwezi pata mshindi
Hajapatikana sababu hamtaki kukubali kushindwaUendelee tu kumbe huu Uzi una miaka mitano na bado mshindi hajapatikana
Kushindwa kwaku huyu ndg. ukhuty ni kumteka nyara na kumlipisha ngawira !!😛😛😛Hajapatikana sababu hamtaki kukubali kushindwa