supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,968
Unampenda samaki hasa akiwa mtamu, ngisi, jodari, nguru, chafi na pwezaSamaki gani unampenda
Unampenda samaki hasa akiwa mtamu, ngisi, jodari, nguru, chafi na pwezaSamaki gani unampenda
Bara si wanatumia maji matamu, pweza anaishi baharini maji ya chumviPweza wa bara?
Kabisa hata chakula ukiongeza ndimuKabisa au kabisaaaa
Ndimu inaongeza ladha flan amazing kwenye chakulaaKabisa hata chakula ukiongeza ndimu
Chakula kitamu kipikwe na wife nyumbani sio hoteliniNdimu inaongeza ladha flan amazing kwenye chakulaa
Hotelini ukale mara moja moja kama kwenye outing dinnersChakula kitamu kipikwe na wife nyumbani sio hotelini
Dinners ya hoteli bila nyama choma haijakamilika badoHotelini ukale mara moja moja kama kwenye outing dinners
Bado ni wimbo wa HamoniseDinners ya hoteli bila nyama choma haijakamilika bado
Harmonize amepata tunzo Afrimma ya msanii bora chipukizi kama alivyopata mwaka jana ommy dimpozBado ni wimbo wa Hamonise
Dimpoz ndio kashapotea kwenye gem LA mzikii hvyooHarmonize amepata tunzo Afrimma ya msanii bora chipukizi kama alivyopata mwaka jana ommy dimpoz
Leo yanga ameshinda goli 4 bilaHivyoo ndio nini bhanaa kaa man u anavyopigwa leo
Bila niniLeo yanga ameshinda goli 4 bila
Nini kimesababisha wasanii wetu kukosa tunzo MTVmama, akina Daimond, Vmoney na Yamoto bandBila nini
Yamoto inasemekana hawapo tena kwa mkubwa felaaNini kimesababisha wasanii wetu kukosa tunzo MTVmama, akina Daimond, Vmoney na Yamoto band
Felaa ni nani kwa siye tuliye mbali na sanaa na burudani za vijana wa kisasa ?????Yamoto inasemekana hawapo tena kwa mkubwa felaa