atug
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 2,821
- 3,617
Vijana wa kisasa wanamjua Felaa kama meneja wa yamoto band na pia ni diwani huko TemekeFelaa ni nani kwa siye tuliye mbali na sanaa na burudani za vijana wa kisasa ?????
Vijana wa kisasa wanamjua Felaa kama meneja wa yamoto band na pia ni diwani huko TemekeFelaa ni nani kwa siye tuliye mbali na sanaa na burudani za vijana wa kisasa ?????
Temeke ni wilaya mtaa wa jiji la Dar es Salaam?Vijana wa kisasa wanamjua Felaa kama meneja wa yamoto band na pia ni diwani huko Temeke
Jiji la Dar es Salaam ina wilaya kadhaa na Temeke ni Wilaya moja wapoTemeke ni wilaya mtaa wa jiji la Dar es Salaam?
kuwepo kwa ndg. @Atuq wakati kama huu yadhihirisha hana usingizi...Wapo na wataendelea kuwepo
Kuwepo humu kwa upande wangu kwasasa naona muda umeenda,niwatakie usiku mwemaWapo na wataendelea kuwepo
Mwema said au yuke mkuu wa polisi aliestaafu hata sielewi!!?Kuwepo humu kwa upande wangu kwasasa naona muda umeenda,niwatakie usiku mwema
usiku mwema kwangu ndo naanza kuwanga kwani napasha moto ungo na busati la upepo nipate kipaa !!Kuwepo humu kwa upande wangu kwasasa naona muda umeenda,niwatakie usiku mwema
Sielewi ni bonge moja la wimbo kafanyaMwema said au yuke mkuu wa polisi aliestaafu hata sielewi!!?
Kipaa ndo nini? Umenifanya nisilale nitafakari maana yakeusiku mwema kwangu ndo naanza kuwanga kwani napasha moto ungo na busati la upepo nipate kipaa !!
Yake maana watu wasidandie text ovyo wazingatie ya mwisho, neno la mwisho ndio unaanza nalo,shida uelewa ama elimu?Kipaa ndo nini? Umenifanya nisilale nitafakari maana yake
Magu n kifu cha magufuli ambaye wanamwita dikteta uchorwaaElimu yenyew hii ya ank magu
Vizuri ni pale unapozama chumvini kunywa maziwaWewe mkuzi nadhani huu mchezo bado hujauelewa vizuri
Hotelini vyakula vingi vinavyo pikwa havina kazi mwilini zaidi ya kujiburudishaChakula kitamu kipikwe na wife nyumbani sio hotelini
Uchaguzi wenyewe Nape na Lubuva wanafunga kwa gori la mkonoWapi ccm inawazidi upinzani ? Mpaka leo wanashinda tu kila uchaguzi
Mkono umevunjika baada ya kugongwa na gariUchaguzi wenyewe Nape na Lubuva wanafunga kwa gori la mkono