Hb wa Ilala
JF-Expert Member
- Sep 23, 2015
- 1,190
- 1,217
..ugali hasa hasa wa dona ndo hawaujui kabisaWadada kama atug hawezi kupika ugali
..ugali hasa hasa wa dona ndo hawaujui kabisaWadada kama atug hawezi kupika ugali
Kabisa mkuu pamoja na bada ugali wa mihogo..ugali hasa hasa wa dona ndo hawaujui kabisa
Iwe ya kutokosa, iwe ya kukaanga, kuchemsha au mihogo ya kuchoma ule na papaMihogo naipenda sana tena iwe ya kutokosa
Papa ni aina ya samami auIwe ya kutokosa, iwe ya kukaanga, kuchemsha au mihogo ya kuchoma ule na papa
Au jina jengine ni nguru,papa ni samaki anauzwa kipande tu anachumvi nyingi ni mtamuPapa ni aina ya samami au
Mtamu kushinda SatoAu jina jengine ni nguru,papa ni samaki anauzwa kipande tu anachumvi nyingi ni mtamu
Sato pia mtamu sema tofauti yao huyu sato wa ziwani na papa ni wa bahariniMtamu kushinda Sato
Baharini kuna nyangumiSato pia mtamu sema tofauti yao huyu sato wa ziwani na papa ni wa baharini
Nyangumi ni samaki mkubwa sana anaweza kuizamisha meliBaharini kuna nyangumi
Victoria BeckhamMeli aina ya MV bukoba ilizama mnamo 21 - 5 - 1996.
Katika ziwa Victoria ambayo ilikuwa ina uwezo wa kubeba mizigo tani 850 na abiria wake wapatao 430.
MV bukoba ruti zake ilikuwa kutoka bandari ya bukoba mpaka bandari ya mwanza,
Ilizama kwa kina cha 56 km katika ziwa Victoria na 894 ndio idadi kuu ya watu waliokufa katika mv bukoba katika ziwa Victoria.
Baridi hawezi kufaidiMoto au baridi
Kufaidi hutegemea na ukaidi wake, ifikapo siku ya iddi wote tunafaidi....Baridi hawezi kufaidi
Tunafaidi sana michepuko.Kufaidi hutegemea na ukaidi wake, ifikapo siku ya iddi wote tunafaidi....
Michepuko imedhibitka na kukosa soko baada ya utumbuaji kusababisha ugumu wa maisha..Tunafaidi sana michepuko.
Ugumu wa maisha ndo kipimo cha akiliMichepuko imedhibitka na kukosa soko baada ya utumbuaji kusababisha ugumu wa maisha..
Zako, Akili kila mmoja anayo yake ila maarifa hulala hadi inapochangamshwa hukurupuka ....Ugumu wa maisha ndo kipimo cha akili
Hukurupuka tenaZako, Akili kila mmoja anayo yake ila maarifa hulala hadi inapochangamshwa hukurupuka ....