atug
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 2,821
- 3,618
Kariakoo tena,hao nao wachoyoNiwafuate na mimi nasikia wameenda kariakoo
Kariakoo tena,hao nao wachoyoNiwafuate na mimi nasikia wameenda kariakoo
..wachoyo hutaJirika maana ukizoea kuomba mwishoni utaombwa maana mla huliwaKariakoo tena,hao nao wachoyo
Huliwa kipi?..wachoyo hutaJirika maana ukizoea kuomba mwishoni utaombwa maana mla huliwa
..kipi ambacho unajua huliwa??Huliwa kipi?
Kuku,icecream,matunda n.k..kipi ambacho unajua huliwa??
..kadhalika matunda ya mti wa katikati huliwaKuku,icecream,matunda n.k
Huliwa embe bichi na chumvi hasa kwa mjamzito..kadhalika matunda ya mti wa katikati huliwa
..mjazito haruhusiwi kula vitu vilivyoonyooka kma ndizi na carrotHuliwa embe bichi na chumvi hasa kwa mjamzito
Carrot ni kiungo cha mboga, halafu mkuu huwezi kutunga sentensi mpaka ugusie matusi..mjazito haruhusiwi kula vitu vilivyoonyooka kma ndizi na carrot
..matusi unaelewa wewe mkuu supermarketCarrot ni kiungo cha mboga, halafu mkuu huwezi kutunga sentensi mpaka ugusie matusi
Ndizi na Carrot huliwa sana,utafiti huo umeufanyia wapi?..mjazito haruhusiwi kula vitu vilivyoonyooka kma ndizi na carrot
..wapi kama sio katika sources za habari sasa,hivyo vitu haviliwiNdizi na Carrot huliwa sana,utafiti huo umeufanyia wapi?
Wapi naweza kupata chapati za azamNdizi na Carrot huliwa sana,utafiti huo umeufanyia wapi?
Azam ana produce vitu vingi zaidi ya chapatiWapi naweza kupata chapati za azam
Chapati tamu sana ukila na rost mainiAzam ana produce vitu vingi zaidi ya chapati
Rost maini nipikiwe,nikiipika mm siwezi kula sanaChapati tamu sana ukila na rost maini
Sana sana sema tu ukweli hujui kupikaRost maini nipikiwe,nikiipika mm siwezi kula sana
Kupika ni moja ya vitu navyopenda kufanyaSana sana sema tu ukweli hujui kupika
..kupika kunawafaa wadadaSana sana sema tu ukweli hujui kupika
Wadada kama atug hawezi kupika ugali..kupika kunawafaa wadada